kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,695
- 20,633
Kamuite wewe kwenye kikosi chako cha wavuta bangePaul nonga wa lipuli sio wa kuachwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamuite wewe kwenye kikosi chako cha wavuta bangePaul nonga wa lipuli sio wa kuachwa
Hata mm sielew mkuu nahisi hawana ndugu na Wallace kariaJamani mimi ni shabiki wa mpira, vitu technical sijui....naomba kuuliza..Rashidi Juma na Paul Godfrey watakua na tatizo gani technically mpala bench la ufundi la Taifa stars haliwaoni?
Hata TFF Hawataki ujinga wa Mtibwa wa msimu. .Kocha anavutiwa na soka la Wana paluhengo ila pia ukiondoa Simba,yanga na Azam wao ndio wanafuata kwa karibu na ni wapiganaji na msimu huu watachukua FA
Analeta utani kwenye mpira wetuAmechukuliwa mjomba wake na Wallace Kelvin john
Kwaio TFF watazuia Lipuli asiwe bingwa?Hata TFF Hawataki ujinga wa Mtibwa wa msimu. .
Kweli unamuacha Rashid juma promising player unachua mtu ambae anatakiwa akomazwe na umiseta kwanzaAnaleta utani kwenye mpira wetu
Haya Mambo yanapatikana Tanzania tu mkuuKweli unamuacha Rashid juma promising player unachua mtu ambae anatakiwa akomazwe na umiseta kwanza
Viongozi wa mpira bongo hawana tofauti na juma nyosoHaya Mambo yanapatikana Tanzania tu mkuu
Wangewapeleka jkt tanzania tuKikosi hichi kinapigwa na Jkt vizuri tu
Refa Kambuzi unategemea niniKwaio TFF watazuia Lipuli asiwe bingwa?
Au Njombe mjiWangewapeleka jkt tanzania tu
Kamuite wewe kwenye kikosi chako cha wavuta bange
Alikuvutisha mmeoBange ulinivutisha na mama yako?
Acha ukenge wewe.. abdi banda ni mchezaji wa kutegemewa pale baroka fcHahahaaa goli 4 za kufikia tu tena mechi ya kwanza Himid mao, Yahya zaid, Shaban chilunda, Abdi banda, Shiza kichuya, Thomas ulimwengu, na Farid musa ni WAKAA BENCHI WAKUBWA SASA SIJUI WANAKUJA KUFANYA NINI.
Hao jamaa wanaotukana wananikera Sana tumeshalalamika bado wanaachiwaMbona unakosa uungwana kaka, kwanini unitukane hayo ni mawazo yangu binafsi tu yanaweza yakawa na athari au yasiwe na athari yoyote. Hao wachezaji niliowataja ni lazima wapate nafasi angalau wanne kwa kucheza kwao ligi shindani sasa kule hawachezi wanasota benchi watatufedheesha AFCON.
Matusi ninayo tena ni ghali mno kwa kifupi mimi ni muhuni msomi leo sina mudi hiyo tafadhali braza
Kwa kweli inakera sana mkuu na hasa mambo ya kutukaniana wazazi,tunaweza kubishana kwa hoja na hata kutaniana lakini si kukoseana adabu...haipendezi.Hao jamaa wanaotukana wananikera Sana tumeshalalamika bado wanaachiwa
Hivi nikikujibu kwa dharau na shombo nilizonazo utajisikiaje mkubwa?Acha ukenge wewe.. abdi banda ni mchezaji wa kutegemewa pale baroka fc
Lipuli atakuwaje bingwa wa FA? Hata mkichanganyika nao lazima wakae!Kwaio TFF watazuia Lipuli asiwe bingwa?
Hapo wakichanganya na nyama za kile kitoweo pendwa cha mkoa ule wataua mtu.Nimefurah kuona wachezaj watatu kutoka chama la nyumban lipuli fc vanapaluhengo "KAMWENE INTERNATIONAL"