thisdayes
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,610
- 4,556
Alipata majeraha, ila bila hivyo alikua na namba ya kudumu mpaka vilabu vikubwa vilianza kumfuatilia. Bado haja recover kwa asilimia mia.Hivi nikikujibu kwa dharau na shombo nilizonazo utajisikiaje mkubwa?
Abdi banda hajaanza mechi takribani sita hata mechi iliyopita hakuanza! Ni Reserve mzuri sana, apo awali kipindi ligi inaanza wakiwa kileleni mwa ligi ya PLS alikuwa anaanza sana baada ya vipigo kuanza kuwakumba anasikia tu first 11. Na usishangae wakashuka daraja wakileta uzembe