Kikosi cha Taifa stars chatangazwa

Kikosi cha Taifa stars chatangazwa

Alichonifurahisha uyu kocha ni kujali wachezaji wa Simba ambao wana mechi ya klabu bingwa.
Mdau yoyote wa soka Tanzania ni vema wakazingatia zaidi mslahi mapana ya timu bora Africa mashariki"Simba"
 
WACHEZAJ WALIOITWA TIMU YA TAIFA NI ...

1 MANULA
2 KAPOMBE
3 TSHABALALA
4 KENNEDY JUMA
5 ERASTO NYONI
6 JONAS MKUDE
7 HASSAN DILUNGA
8 MZAMIRU YASSIN
9 JOHN BOCCO
10 HAMIS NDEMLA
11 SELEMANI MATOLA

tunaposema SIMBA NDIO TIMU YA TAIFA MUWE MNAELEWA*
Nikikwambia kuwa akili huna utasemaje?
 
WACHEZAJ WALIOITWA TIMU YA TAIFA NI ...

1 MANULA
2 KAPOMBE
3 TSHABALALA
4 KENNEDY JUMA
5 ERASTO NYONI
6 JONAS MKUDE
7 HASSAN DILUNGA
8 MZAMIRU YASSIN
9 JOHN BOCCO
10 HAMIS NDEMLA
11 SELEMANI MATOLA

tunaposema SIMBA NDIO TIMU YA TAIFA MUWE MNAELEWA*
Ukiitwa mbumbumbu utasema wanakuonea. Huyo matola anacheza namba ngapi?
 
View attachment 1712374

Kikosi cha Taifa stars kitachocheza michezo miwili ya kirafiki na Kenya tarehe 15 na 18 mwezi Machi. Mchezo wa kwanza wa kirafiki hautohusisha wachezaji wa Simba kwakuwa watakuwa na mchezo wa Klabu bingwa tarehe 16.

Baada ya kumaliza mchezo huo watakwenda moja kwa moja mpaka Nairobi kwa ajili ya mchezo wa pili wa kirafiki na Kenya. Kocha wa Taifa stars Poulsen ameeleza kuwa baadhi ya wachezaji hao wa Simba watacheza mda mfupi tu ili wapate mda wa kupumzika.

Baada ya michezo miwili ya kirafiki huko Nairobi Kenya Kikosi kitaelekea Equatorial Guinea kwa ajili ya mchezo mmoja kati ya miwili ya kufuzu Afcon dhidi ya Equatorial Guinea na Libya.

Mbwana Samatta atachelewa kujiunga na kikosi kwakuwa tarehe 21 atakuwa na jukumu kwenye Klabu yake hivyo ataungana na kikosi baada ya kumaliza majukumu yake.

Mchezo dhidi ya Equatorial Guinea utachezwa tarehe 25 na baada ya mchezo huo kikosi kitarejea tena kambini Dar es salaam kujiandaa na mchezo wa mwisho ambao utachezwa kati ya tarehe 28 au 30 mwezi machi.
Uchaguzi wa tff Ni lini?
 
Back
Top Bottom