mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Hiyo chupa ndio yenye thamani kuliko hayo majina kwenye huo uandishi ππππNilichokiona Hapo ni hiyo chupa ya Serengeti.Sijui kwann font size ya majina ni ndogo kuliko kuliko chupa ya mdhamini.
Tff wanakula kutokana na hiyo chupaNilichokiona Hapo ni hiyo chupa ya Serengeti.Sijui kwann font size ya majina ni ndogo kuliko kuliko chupa ya mdhamini.
Ndoto nzuri lakini ya nini?Timu imejaa wachezaji wa kawaida! Tena wengi wanao chezea vilabu vya kawaida! Halafu kirahisi tu, tufuzu kwenda Kombe la dunia!!
Wakati huo huo unakuta timu kama Ivory Coast, Senegal, Ghana, nk. Karibia wachezaji wao wote wanacheza kwenye Ligi kubwa ulimwenguni!
I wish badala ya Wallace Karia kufikiria tu posho na mshahara wa urais, angekuja na mpango mkakati wa kuhakikisha wachezaji wetu wengi wanapata timu kubwa za kucheza huko ughaibuni.