Kikosi cha Taifa Stars kuelekea Qatar 2022

mugah di matheo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
6,307
Reaction score
12,410
Hawa ndio wameaminiwa

Maswali machache
Metacha hana timu?
Magolikipa wa 4 wa kazi gani?
Kaseja yupo wapi?
Mkude je?
Kibu deniss na Dann lyanga hatujaona kazi yao?

FB_IMG_16293619679187527.jpg
 
Timu imejaa wachezaji wa kawaida! Tena wengi wanao chezea vilabu vya kawaida! Halafu kirahisi tu, tufuzu kwenda Kombe la dunia!!

Wakati huo huo unakuta timu kama Ivory Coast, Senegal, Ghana, nk. Karibia wachezaji wao wote wanacheza kwenye Ligi kubwa ulimwenguni!

I wish badala ya Wallace Karia kufikiria tu posho na mshahara wa urais, angekuja na mpango mkakati wa kuhakikisha wachezaji wetu wengi wanapata timu kubwa za kucheza huko ughaibuni.
 
Ndoto nzuri lakini ya nini?
 
Tanzania kufuzu kucheza kombe la dunia ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano...
 
Back
Top Bottom