Kikosi cha Taifa Stars, nani uamuona hayupo?

Kikosi cha Taifa Stars, nani uamuona hayupo?

Joined
Jun 3, 2014
Posts
63
Reaction score
68
Naona baadhi ya wachezaji wameachwa, kama Zimbwe, Mwamnyeto, Abutwarib WA Yanga, Kapombe nk, Je ni sahihi kuwaacha? Au wamewaacha sababu ya kujiandaa na mashindano ya klab zao??
FB_IMG_1663094447415.jpg
 
Mental health action plan ni muhimu sana
Naona baadhi ya wachezaji wameachwa, kama Zimbwe, Mwamnyeto, Abutwarib WA Yanga, Kapombe nk, Je ni sahihi kuwaacha? Au wamewaacha sababu ya kujiandaa na mashindano ya klab zao?
 
Waziri wa Michezo alilalamika wachezaji wa Taifa Stars hawajitumi hivyo kuanzia sasa watachukua wasio na majina, nashangaa wamemchagua na Samata wakati huyo ndio anaongoza kwa kutojituma akiwa timu ya Taifa.
 
Back
Top Bottom