Vitendo
JF-Expert Member
- Oct 23, 2009
- 582
- 103
ndugu zangu,leo nimesoma magazeti mawili yote yametoa orodha ya wachezaji wa Taifa Stars watakao kipiga na Misri hiyo tarehe 5,gazeti moja nimekuta jina la golikipa mahiri wa Mtibwa sukari Shaaban kado ila gazeti jingine sijaona jina hilo.........sasa wadau naomba kupewa ukweli ni upi Kado kaitwa au vp?...pia mnakionaje kikosi hicho?