Ki uhalisia Yanga na Simba Timu za Under 18 hawana, hao Yanga ndio kabisa huwa wanaokota muda wa mashindano ukifika, walau simba huwa wako nao hivyo hivyoWachezaji walioitwa kikosi cha Taifa U18 wapo 34, wachezaji wa Simba wapo wawili tu na Yanga hamna mchezaji hata mmoja.
Azam ndo wapo wengi, wakuu hii mnaonaje hivi vilabu vyetu vikubwa havizingatii wachezaji chupukizi? Naanza kupata picha hivi vilabu viwili haviandai wachezaji kutoka chini wanasubiri tu kuwasajili walio tayari.View attachment 2815190
Yanga upande wa vijana ,wanaanza upya, ndio maana wamewachukua Moro kids , timu yao huwa chini ya Said Maulid, Simba vijana wanao siku zote ila hawawapi nguvu,Lakini si kuna ligi ya vijana?
Ufafanuzi muruaKupanga ni kuchagua kwa levo na uchumi ulionazo timu zetu kubwa ni bora wanunue mchezaji akiwa tyr mkubwa kulko kukuza kipaji
Ijue kwenye kukuza vipaji hutumia garama kubwa sana kumuandaa mtoto akiwa bado chini ad kufikia mature level na wakat wingne uyo kijana unaemuandaa asikupe matokea chanya moja kwa moja ukajikuta umeingia hasara
Ila ukinunua mtu mzma tyr uyo yuko timamu na yuko tyr kwa matumizi na ata asipofaa galama zake za kumuacha ni ndgo na hasara inayopatikana ni ndogo tofauti na kukuza kipaji af mwisho wa sku kisikupe matokea
Kwaiyo kutokana na sababu km izo ni vema kununua mchezaji akiwa mature sabu uchumi wa timu izo mbili kumbwa bado ni mdogo sana
Ujue watu weng tunapenda kuongea bila research timu zetu za Simba na Yanga ni maskini tena maskini sana na kuanzisha kituo cha kukuza vipaji ni gharama sana na ni kitu ambacho vilabu tajiri tu ndo vinaweza
Hata kwenye kikosi cha sasa cha Taifa Stars kuna wachezaji wachache sana wa simba ukilinganisha na wale wa Yanga. Hivyo sioni kama kuna sababu ya kuuliza hilo swali.Wachezaji walioitwa kikosi cha Taifa U18 wapo 34, wachezaji wa Simba wapo wawili tu na Yanga hamna mchezaji hata mmoja.
Azam ndo wapo wengi, wakuu hii mnaonaje hivi vilabu vyetu vikubwa havizingatii wachezaji chupukizi? Naanza kupata picha hivi vilabu viwili haviandai wachezaji kutoka chini wanasubiri tu kuwasajili walio tayari.View attachment 2815190