Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 6,823
- 15,293
Wachezaji walioitwa kikosi cha Taifa U18 wapo 34, wachezaji wa Simba wapo wawili tu na Yanga hamna mchezaji hata mmoja.
Azam ndo wapo wengi, wakuu hii mnaonaje hivi vilabu vyetu vikubwa havizingatii wachezaji chupukizi? Naanza kupata picha hivi vilabu viwili haviandai wachezaji kutoka chini wanasubiri tu kuwasajili walio tayari.