paul green
Member
- Jan 16, 2019
- 18
- 17
Toa huyo ulimwengu hakuna kitu hapomara paap! kikosi cha TANZANIA vs UGANDA hiki hapa.
1. AISHI MANULA
2. HASAN KESSY
3. MOHAMED HUSEN
4. BANDA
5. KELVIN YONDANI
6. JONAS MKUDE
7. SIMONI MSUVA
8. SALUM ABUBAKAR "SUREBOY"
9. MBWANA SAMATA
10. IBRAHM AJIB
11. CHILUNDA
SUB
BENO KAKOLANYA
PAUL GODFREY
GADIEL MAIKO
ABDALAH SHAIB NINJA
FEISAL SALUM
HASAN DILUNGA
JOHN BOCCO
TOMAS ULIMWENGU
FARID MUSA
***HAPO VIP MDAU
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Daaaaah mkuuu kikosi ulichopanga kiko poa sana, tatizo makocha sasa wanajiiiita wana FALSAFA Zao. Utakuta beki sjui kutoka Lipuli/Sonso au Ndanda kawekwa nafasi ya Yondani unategemea nini hapo
Daaaaah mkuuu kikosi ulichopanga kiko poa sana, tatizo makocha sasa wanajiiiita wana FALSAFA Zao. Utakuta beki sjui kutoka Lipuli/Sonso au Ndanda kawekwa nafasi ya Yondani unategemea nini hapo
Ajib na Gadiel Michael wameshuka kiwango
Sijui tatizo nini Kwa Gadiel ? Kwa Ajib temzoea mwishoni huwa anazingua.
Ajib: Mechi 9 za mwanzo assist 13
Mechi 10 za mwisho assist 1
Ni kweli wachezaji kama Boko hufanya beki zisiweze kupanda kabisa...huku wakisumbuliwa na Msuva na Samatta lazima wachanganyikiwe tu.Sijajua kwa nini Amunike hajatengeneza pacha ya ushambuliaji ya John Bocco, Samatta na Msuva. Nina hakika safu hii inaweza kutetemesha ngome yoyote Africa hii
Boco ni butu, nafasi 10 anakosa zoteSijajua kwa nini Amunike hajatengeneza pacha ya ushambuliaji ya John Bocco, Samatta na Msuva. Nina hakika safu hii inaweza kutetemesha ngome yoyote Africa hii