KIKOSI CHA TANZANIA VS UGANDA

KIKOSI CHA TANZANIA VS UGANDA

paul green

Member
Joined
Jan 16, 2019
Posts
18
Reaction score
17
mara paap! kikosi cha TANZANIA vs UGANDA hiki hapa.
1. AISHI MANULA
2. HASAN KESSY
3. MOHAMED HUSEN
4. BANDA
5. KELVIN YONDANI
6. JONAS MKUDE
7. SIMONI MSUVA
8. SALUM ABUBAKAR "SUREBOY"
9. MBWANA SAMATA
10. IBRAHM AJIB
11. CHILUNDA

SUB
BENO KAKOLANYA
PAUL GODFREY
GADIEL MAIKO
ABDALAH SHAIB NINJA
FEISAL SALUM
HASAN DILUNGA
JOHN BOCCO
TOMAS ULIMWENGU
FARID MUSA
***HAPO VIP MDAU
 
Hapo itabidi ajibu aanze benchi maana makali yake yameshuka.
 
Daaaaah mkuuu kikosi ulichopanga kiko poa sana, tatizo makocha sasa wanajiiiita wana FALSAFA Zao. Utakuta beki sjui kutoka Lipuli/Sonso au Ndanda kawekwa nafasi ya Yondani unategemea nini hapo
 
mara paap! kikosi cha TANZANIA vs UGANDA hiki hapa.
1. AISHI MANULA
2. HASAN KESSY
3. MOHAMED HUSEN
4. BANDA
5. KELVIN YONDANI
6. JONAS MKUDE
7. SIMONI MSUVA
8. SALUM ABUBAKAR "SUREBOY"
9. MBWANA SAMATA
10. IBRAHM AJIB
11. CHILUNDA

SUB
BENO KAKOLANYA
PAUL GODFREY
GADIEL MAIKO
ABDALAH SHAIB NINJA
FEISAL SALUM
HASAN DILUNGA
JOHN BOCCO
TOMAS ULIMWENGU
FARID MUSA
***HAPO VIP MDAU
Toa huyo ulimwengu hakuna kitu hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaaaah mkuuu kikosi ulichopanga kiko poa sana, tatizo makocha sasa wanajiiiita wana FALSAFA Zao. Utakuta beki sjui kutoka Lipuli/Sonso au Ndanda kawekwa nafasi ya Yondani unategemea nini hapo

Huyo Sonso labda asubiri mechi ya Lipuli na Simba ...Hafai kuchezea Taifa Stars...ovyo kabisa yule...anajua mwenyewe alichokifanya siku ya Simba na Lipuli na mwenzake Ngalema na kipa
 
Bocco anawekwa sub? Anataka kuigharimu nchi huyu refa? Asije akafanya nimlaumu baada ya mechi

Sent using unknown device
 
2.Paulo Godfrey
4.Agrey Moris
10.John Boko
11.Kichuya
Wengine wabaki hivyo hivyo.
 
Ajib na Gadiel Michael wameshuka kiwango
Sijui tatizo nini Kwa Gadiel ? Kwa Ajib temzoea mwishoni huwa anazingua.

Ajib: Mechi 9 za mwanzo assist 13
Mechi 10 za mwisho assist 1
 
kwa mfano ninja anatafuta nini kwenye hii timu?himid mao hata bench hayupo?alafu kuna dogo mmoja anacheza botswan ni mchezaji mzuri sana.
 
Kichuya wapi?
Agrey Morris wapi?
H.Mao wapi?

Kumbuka tunatakiwa kushinda sio kushindanisha jezi.
 
Ajib na Gadiel Michael wameshuka kiwango
Sijui tatizo nini Kwa Gadiel ? Kwa Ajib temzoea mwishoni huwa anazingua.

Ajib: Mechi 9 za mwanzo assist 13
Mechi 10 za mwisho assist 1

Kwa wanaomjua ajib hawashangai. Toka simba b hanaga consistence. Baada ya mechi 10 pumzi inakata
 
Sijajua kwa nini Amunike hajatengeneza pacha ya ushambuliaji ya John Bocco, Samatta na Msuva. Nina hakika safu hii inaweza kutetemesha ngome yoyote Africa hii
 
Sijajua kwa nini Amunike hajatengeneza pacha ya ushambuliaji ya John Bocco, Samatta na Msuva. Nina hakika safu hii inaweza kutetemesha ngome yoyote Africa hii
Ni kweli wachezaji kama Boko hufanya beki zisiweze kupanda kabisa...huku wakisumbuliwa na Msuva na Samatta lazima wachanganyikiwe tu.
 
Awamu hii sijui kocha wetu Amunike atatupangia washambuliaji tupu kuanzia golikipa hadi namba 11 ili tuweze kushinda hiyo mechi ya mwisho na Uganda ili kufuzu afcon! Maana kule Lesotho tunanamkumbuka sana kwa kujaza mabeki na wachezaji wasiokua na uzoefu na mwisho wa siku tukaishia kufungwa 1-0.
 
Back
Top Bottom