Kikosi cha Uingereza kitakachocheza Euro 2021 chatajwa

tc_edo

Senior Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
123
Reaction score
98
Hiki ndio kikosi (pichani) cha wachezaji 26 wa Uingereza [emoji1022]󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 watakaoshiriki michuano ya Euro 2020 itakayofanyika mwaka huu 2021,11 juni hadi 11 julai 2021.

Wachezaji saba waliotemwa kati ya 33 waliotajwa awali ni

1. Jesse Lingard
2. James Ward Prowse
3. Ollie Watkins
4. Mason Greenwood
5. Ben Godfrey
6. Aaron Ramsdale
7. Ben White.

 
Huwa wanajitapa sana, lakini at the end wanaishia robo fainali.

Kuna jiwe la France huko, Benzema ndani ya nyumba, usithubutu kukutwa na Bwana Pepsi.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] Eti bwana Pepsi.
 
Ajabu sana man, team ina beki wengi kuliko viungo, hao right full backs wote aliowaita wa nini sasa, amekosa kujiamini
Madai yake eti TAA na Reece James wana uwezo wa kucheza pia kwenye kiungo kwaiyo anawapa option nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…