Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu swaliUnataka nini?
Hiyo tunatolewa na kocha tunafukuza.Hii timu wachezaji wake wengi ni wazawa ukiondoa wachache. Pia wengi ni vijana ukiondoa kama Dan senkuruma ambaye aliwahi kuichezea Simba. Taifa stars ijiandae mechi yao na Uganda kwani inaonyesha Uganda wachezaji wazawa ni wazuri
Mie nilijuaga wee ni wa udaku tuu kumbe mambo ya mpira umo....4 km sijakosea.
Acha ujinga wewe,kwani timu mbili tu?Nawashukuruni sana ndugu wachangiaji!!
Tulishasema mara nyingi sana humu ndani kwamba Simba na Yanga ndio wanauwa soka la Tanzania na na hawana faida yeyote kwa Taifa.
Hamna mahala Taifa litafika kwa kuendekeza wachezaji wa nje.. Inasikitisha sana tunawacelebrate wachezaji wa nje wasio na faida. Usitegemee uzalendo kwa wachezaji wa nje kupigania hivi vilabu vyetu....Africa bado hatujafika huko..
Tuwekeze kwa wachezaji wa ndani... Hakuna haja ya kuendelea subiri.
Ile sio Yanga...na mimi sihesabu ile ni Yanga na ninaacha washabikia Yanga dakika hii... Ile ni Africa..wachezaji wameokotwaokotwa huko wa Kiafrika kuja Tanzania.
Sijui lini litaeleweka hili..
Sikulazimishi kuamini maoni yangu mkuu. Na nyie mpo wengi tu na huwa mnapinga mtizamo huu.. mtizamo wa kisayansi kabisa..Acha ujinga wewe,kwani timu mbili tu?
Kama wapo hao wachezaji si waoneshe uwezo wao kwenye timu nyingine kama Ruvu shooting ?
Mnaendekeza majungu tu na mkicheza timu kubwa mnahongwa na gsm kucheza chini ya kiwango ili kinye washinde.
Leo ni aibu ya kinye FC tu maana ushindi wao wanaupata kwa kubebwa na kuhonga timu pinzani na waamuzi
Mijitu kazi myeusi ya Uganda! Jamaa ni nouma!Na je waliocheza leo wa nje wako wangapi!?? Msaada wadau kuna kitu nataka hitimisha.. maana TZ nafikiri akili zetu nyeusi sanaa...
Mods please!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni mwana lunyasi kindaki ndaki na wa kutupwaaaaa!!!Mie nilijuaga wee ni wa udaku tuu kumbe mambo ya mpira umo....
Kubembe kwa wana lunyasi kunanpisi kali kali tuu....aya kesho nanyi msitie aibu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni mwana lunyasi kindaki ndaki na wa kutupwaaaaa!!!
[emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881]
Nkuu nimekupa like kwa kusoma tu aya yako ya kwanza, sina haja ya kuendelea. That has been my opening remark kila ninapo discuss soka letu la bongo tunalolipenda but lenyewe halitupendi coz hatulilei na kulitendea haki. Kula gwala jingine tenaNawashukuruni sana ndugu wachangiaji!!
Tulishasema mara nyingi sana humu ndani kwamba Simba na Yanga ndio wanauwa soka la Tanzania na na hawana faida yeyote kwa Taifa.
Hamna mahala Taifa litafika kwa kuendekeza wachezaji wa nje.. Inasikitisha sana tunawacelebrate wachezaji wa nje wasio na faida. Usitegemee uzalendo kwa wachezaji wa nje kupigania hivi vilabu vyetu....Africa bado hatujafika huko..
Tuwekeze kwa wachezaji wa ndani... Hakuna haja ya kuendelea subiri.
Ile sio Yanga...na mimi sihesabu ile ni Yanga na ninaacha washabikia Yanga dakika hii... Ile ni Africa..wachezaji wameokotwaokotwa huko wa Kiafrika kuja Tanzania.
Sijui lini litaeleweka hili..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sie tuko level za juu.Kubembe kwa wana lunyasi kunanpisi kali kali tuu....aya kesho nanyi msitie aibu
Waganda wengi ni smart kichwani,vijana wengi wamesoma na wanafanya vitu angalau kwa malengo ya kufika mbali. Tofauti na hapa kwetu tunafanya mambo yetu kwa makelele na ushabiki mwingi,vijana wetu nao elimu hawana,wanaishi bila malengo ya mbali,na viongozi wetu wanafanya mambo kwa msukumo wa mashabiki na sio kwa utaalamu.Hii timu wachezaji wake wengi ni wazawa ukiondoa wachache. Pia wengi ni vijana ukiondoa kama Dan senkuruma ambaye aliwahi kuichezea Simba. Taifa stars ijiandae mechi yao na Uganda kwani inaonyesha Uganda wachezaji wazawa ni wazuri
Hahaha aya bwana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sie tuko level za juu.
Mawazo yako ni mazuri sana hasa kwenye kuzalisha wachezaji wazawa hapo nakuunga mkono,ila Tatizo kubwa sio Simba na yanga! Tatizo ni elimu ya watanzania,wachezaji wetu wengi wana elimu ndogo,licha ya vipaji ila elimu bado ni tatizo.Nawashukuruni sana ndugu wachangiaji!!
Tulishasema mara nyingi sana humu ndani kwamba Simba na Yanga ndio wanauwa soka la Tanzania na na hawana faida yeyote kwa Taifa.
Hamna mahala Taifa litafika kwa kuendekeza wachezaji wa nje.. Inasikitisha sana tunawacelebrate wachezaji wa nje wasio na faida. Usitegemee uzalendo kwa wachezaji wa nje kupigania hivi vilabu vyetu....Africa bado hatujafika huko..
Tuwekeze kwa wachezaji wa ndani... Hakuna haja ya kuendelea subiri.
Ile sio Yanga...na mimi sihesabu ile ni Yanga na ninaacha washabikia Yanga dakika hii... Ile ni Africa..wachezaji wameokotwaokotwa huko wa Kiafrika kuja Tanzania.
Sijui lini litaeleweka hili..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] itakua hatareeeh.Hahaha aya bwana.
Wacha nikukutanishe na financial services siku ya ngao ya jamii pale taifa.