Unapanda ndege kwenda kucheza mechi za kimataifa halafu unarudi na Matokeo ya kupigwa goli 5 ndani ya dakika 45 za kwanza kuna maana gani ya kujisifu???Simba inapanda ndege kwenda kucheza mechi za kimataifa.
Nyinyi nendeni Kidimbwi mkakae kwenye maji vyura nyinyi"visit kidimbwi"
Kumbe Kuna wanaume wanajiita queens fc!!!We wa hapa hapa tu, acha Dume likuwakilishe Kimataifa..Kwa vile anga hizo huwezi
@Tate Mkuu hao wamezoea uchawi. Ona alichokiongea Mwina Kaduguda.Chonde chonde! Msiende kurudia kufanya tena ule umbumbumbu wenu wa kishirikina wa kuingia na MAPAKA uwanjani! kama mlivyofanya kwenye ile mechi na FC Platinum.
Hakika tuna kila sababu.Tutashinda Inshallah.
Mtashinda njaa labda...kwa mpira gani mliokuwa nao?Tutashinda Inshallah.
Nawapa pole. AS VITA si timu ya mchezo kwao. Wajitahidi kupunguza idadi ya magoliKikosi cha wachezaji 27 wa Simba SC, ambacho kinasafiri leo Jumanne saa kumi Alasiri, January 9, 2021 kuelekea nchini DR Congo kwa ajili ya mechi ya kwanza ya hatua ya makundi ya michuano ya Klabu Bingwa Barani Afrika dhidi ya AS Vita Club, February 12, 2021.
Kikosi hicho cha Simba SC, kitaendelea kumkosa Nahodha wake John Bocco ambaye ni majeruhi na Perfect Chikwende ambaye usajili wake ni kwa ajili ya Ligi Kuu Tanzania VPL na FA, kwa vile sheria ya Caf haimruhusu kucheza timu mbili tofauti kwasababu alicheza Klabu Bingwa Afrika akiwa Platinum FC ya Zimbabwe.
Kila la heri Simba SC Viongozi, benchi la ufundi na wachezaji.
View attachment 1697997
Chattle!Unateseka ukiwa pande zipi? kamati ya mapokezi
🤯🤯🤯🤯🤯🤯🤯🤯🤯Haya kuna Airport hapo Vita wanashuka na watachuka basi hadi Dar kucheza na Simba mchezo wa pili.
Kwahivyo kaaa hapo hapo kamati ya mapokezi na jezi ya Vita
Kawaida tu,mbona nyinyi Vidimbwi f.c tuliwapiga 5g.Unapanda ndege kwenda kucheza mechi za kimataifa halafu unarudi na Matokeo ya kupigwa goli 5 ndani ya dakika 45 za kwanza kuna maana gani ya kujisifu???
Wewee,Simba inacheza pila kuku pila biriani pila sambusa za samaki.Mtashinda njaa labda...kwa mpira gani mliokuwa nao?
Yetu macho wacha tusubiri ilo pilauWewee,Simba inacheza pila kuku pila biriani pila sambusa za samaki.
Vidimbwi mnacheza pila gimbi,pila kaukau,pila ugali wa muhogo[emoji23][emoji23]
Bora tushinde hata mojaDraw au tushinde