Kikosi cha wachezaji 27 wa Simba SC kinachosafiri kuelekea DR Congo kuwakabili AS Vita Club

Kikosi cha wachezaji 27 wa Simba SC kinachosafiri kuelekea DR Congo kuwakabili AS Vita Club

Ule muda wa kukalia mfululuzo umerudi
Ndiyo msimu huu wa kuwasikia Waarabu kule Misri wakitanganza kwa mbwembwe na bakhshasha nyingi: "Khamsa.....Khamsa" Allah Akbar!! Wabillah Tawfiq mbumbumbu Tanzaniaaa!! Assallaleh!!!!
 
Ndiyo msimu huu wa kuwasikia Waarabu kule Misri wakitanganza kwa mbwembwe na bakhshasha nyingi: "Khamsa.....Khamsa" Allah Akbar!! Wabillah Tawfiq mbumbumbu Tanzaniaaa!! Assallaleh!!!!
Hizi zote ni stress za kutoshiriki Kidimbwi kimataifa..Ulipo kula 5 kwa Simba waarabu hukuwasikia walikuwepo wakitangaza pia
 
Unapanda ndege kwenda kucheza mechi za kimataifa halafu unarudi na Matokeo ya kupigwa goli 5 ndani ya dakika 45 za kwanza kuna maana gani ya kujisifu???
Unateseka ukiwa wapi kwani 🤣🤣🤣🤣
Mungu akawe upande wenu. Ila kuhusu Chikwende nasikitika mlitudanganya.
Hawa tuliwatoa msimu wa juzi.Au kumbukumbu hamna.
 
Update;

Kikosi cha Simba SC Mabingwa wa Nchi na Wawakilishi wa michuano ya kimataifa tayari kimefika salama jijini Kinshasa DR Congo.
 
Hivi kulikuwa na haja gani ya kumsajili Chikwende? tena kwa ajili ya mechi za ligi tu? Mudi anapigwa sana!
Sababu kubwa ni kufanya rotation ya wachezaj ndani ya kikosi, chikwende anacheza position ambayo miquison na morrison wanacheza kwa hyo hawa wawili wakichoka au kukitokea injury chikwende anakua perfect substitute kwenye sehemu husika and vice versa of it.

Anatoka kisu anaingia kisu😅😅😅 Ndo utajua hujui
 
Sababu kubwa ni kufanya rotation ya wachezaj ndani ya kikosi, chikwende anacheza position ambayo miquison na morrison wanacheza kwa hyo hawa wawili wakichoka au kukitokea injury chikwende anakua perfect substitute kwenye sehemu husika and vice versa of it.

Anatoka kisu anaingia kisu[emoji28][emoji28][emoji28] Ndo utajua hujui

Acha ushabiki, kuna kahata, dilunga, yule dogo aliyeongoza kwa magoli mapinduzi, sometimes hata chama anatokea pembeni. Hao hawatoshi kwa rotation?
 
Acha ushabiki, kuna kahata, dilunga, yule dogo aliyeongoza kwa magoli mapinduzi, sometimes hata chama anatokea pembeni. Hao hawatoshi kwa rotation?
Chukua Kahata, Chama, Dilunga, Miquison, Morison, na Chikwende na huyo dogo wa mapinduzi (Miraji Athumani Sheva) wapange kwa ubora then waingize kwenye kikosi cha kwanza ambacho tuseme unategemea ushindi dhidi ya Yanga.... Alaf kwa kuzingatia ubora wa wachezaj hawa hawa fanya substitution uone kama chikwende humuingizi.

BTW Kahata, Dilunga na Miraji ni wachezaji ambao hawana consistency, Wana perform mechi 3 mfululizo wanazingua zinazofuata. Kwenye hiyo nafasi wachezaj ambao wakipewa nafasi wanaperform vizuri ni Chama, Morison na Miquison. Na katika hawa watatu Morison ndo atakaekua anapokezana namba na Chikwende

Hao wengine kina kahata wasubiri FA au mapinduzi au wasubir wapewe nafasi pale penye uhitaji lakini kwa viwango vyao hawawez kumuweka chikwende benchi
 
Mm ningeomba TFF hawa wachezaji wengine walioachwa wanauwezo wakupiga team yoyote kweny ligi,, ombi langu ligi iendelee tu kwa kikosi kilichoachwa tunao uwezo wa kuifunga Uto 4_0
 
Mm ningeomba TFF hawa wachezaji wengine walioachwa wanauwezo wakupiga team yoyote kweny ligi,, ombi langu ligi iendelee tu kwa kikosi kilichoachwa tunao uwezo wa kuifunga Uto 4_0

Azam ulimpiga ngapi?
 
Back
Top Bottom