permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Wacongo washamalizana na ile vix yao wanakusubiri.Usishangae hicho ni kilugha cha Kidimbwi pamoja na kikongomani ndani yake...![emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wacongo washamalizana na ile vix yao wanakusubiri.Usishangae hicho ni kilugha cha Kidimbwi pamoja na kikongomani ndani yake...![emoji1787][emoji1787]
Nyie mna mawazo ya mda mfupi tuu, ukila mchana basi hufikirii kesho itakuwajeHivi kulikuwa na haja gani ya kumsajili Chikwende? tena kwa ajili ya mechi za ligi tu? Mudi anapigwa sana!
Ndiyo msimu huu wa kuwasikia Waarabu kule Misri wakitanganza kwa mbwembwe na bakhshasha nyingi: "Khamsa.....Khamsa" Allah Akbar!! Wabillah Tawfiq mbumbumbu Tanzaniaaa!! Assallaleh!!!!Ule muda wa kukalia mfululuzo umerudi
Hizi zote ni stress za kutoshiriki Kidimbwi kimataifa..Ulipo kula 5 kwa Simba waarabu hukuwasikia walikuwepo wakitangaza piaNdiyo msimu huu wa kuwasikia Waarabu kule Misri wakitanganza kwa mbwembwe na bakhshasha nyingi: "Khamsa.....Khamsa" Allah Akbar!! Wabillah Tawfiq mbumbumbu Tanzaniaaa!! Assallaleh!!!!
Unateseka ukiwa wapi kwani 🤣🤣🤣🤣Unapanda ndege kwenda kucheza mechi za kimataifa halafu unarudi na Matokeo ya kupigwa goli 5 ndani ya dakika 45 za kwanza kuna maana gani ya kujisifu???
Hawa tuliwatoa msimu wa juzi.Au kumbukumbu hamna.Mungu akawe upande wenu. Ila kuhusu Chikwende nasikitika mlitudanganya.
Halafu wakija dar tunawatoa km kawaida.unawaza kwa kutumia makalio.Popote ilipo ipigwe 5️⃣👊 tena
Sababu kubwa ni kufanya rotation ya wachezaj ndani ya kikosi, chikwende anacheza position ambayo miquison na morrison wanacheza kwa hyo hawa wawili wakichoka au kukitokea injury chikwende anakua perfect substitute kwenye sehemu husika and vice versa of it.Hivi kulikuwa na haja gani ya kumsajili Chikwende? tena kwa ajili ya mechi za ligi tu? Mudi anapigwa sana!
Sababu kubwa ni kufanya rotation ya wachezaj ndani ya kikosi, chikwende anacheza position ambayo miquison na morrison wanacheza kwa hyo hawa wawili wakichoka au kukitokea injury chikwende anakua perfect substitute kwenye sehemu husika and vice versa of it.
Anatoka kisu anaingia kisu[emoji28][emoji28][emoji28] Ndo utajua hujui
Chukua Kahata, Chama, Dilunga, Miquison, Morison, na Chikwende na huyo dogo wa mapinduzi (Miraji Athumani Sheva) wapange kwa ubora then waingize kwenye kikosi cha kwanza ambacho tuseme unategemea ushindi dhidi ya Yanga.... Alaf kwa kuzingatia ubora wa wachezaj hawa hawa fanya substitution uone kama chikwende humuingizi.Acha ushabiki, kuna kahata, dilunga, yule dogo aliyeongoza kwa magoli mapinduzi, sometimes hata chama anatokea pembeni. Hao hawatoshi kwa rotation?
Mungu wao hana nguvu kama Mungu wetu, hioni Mungu wetu ametuepusha na Korona ?!Wale nao wanamuomba Mungu yule yule hivyo hapo ni bahati itatubeba.
Mm ningeomba TFF hawa wachezaji wengine walioachwa wanauwezo wakupiga team yoyote kweny ligi,, ombi langu ligi iendelee tu kwa kikosi kilichoachwa tunao uwezo wa kuifunga Uto 4_0