Majanga Kwa Putin🤔
..
Pokrovsk continues to be one of the hottest areas on the frontlines in , the scene of fierce fighting.
View attachment 3459607
Hata mimi mbona niliwahi kuona clip hiyo siku za nyuma ikionyesha jeshi la Urusi likitumia thermobaric rockets kuwamaliza wanajeshi wa Ukraine waliokuwa wamejichimbia na kuzungukwa na jeshi la Urusi, social media nyingi ulalamikia Ukraine kwa kutumia video clips za kugushi/tengenezwa na CGI au IA na wakati mwingine ku-copy na ku-paste clips za Urusi, media nyingi zilikuwa zinalalamikia usanii huu wa jeshi la Ukraine, hata Clip hii inaonekana wazi wazi ni ya kutengeneza tu.Angalia usikute unaripoti kinyumenyume
Nimeshangaa eti wanajeshi wa Urusi wazungukwe alafu Uingereza chaumbea awe kimya hadi muda huu😄Hata mimi mbona niliwahi kuona clip hiyo siku za nyuma ikionyesha jeshi la Urusi likitumia thermobaric rockets kuwamaliza wanajeshi wa Ukraine waliokuwa wamejichimbia na kuzungukwa na jeshi la Urusi, social media nyingi ulalamikia Ukraine kwa kutumia video clips za kugushi/tengenezwa na CGI au IA na wakati mwingine ku-copy na ku-paste clips za Urusi, media nyingi zilikuwa zinalalamikia usanii huu wa jeshi la Ukraine, hata Clip hii inaonekana wazi wazi ni ya kutengeneza tu.
Kipi kimekuumiza mkuu?
Labda wamekataa kujisalimisha.Mkizungukwa halafu mkasalimu amri si mnakuwa mmeokoa maisha tayari au lazima wawaue?