Kikosi cha wananchi, kama sajili zitakamilika

Smart AJ

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2022
Posts
5,564
Reaction score
5,884
Inaonekana hakuna maingizo mengi mapya,hasa baada ya kumalizana na bangala na lomalisa,ambao ilisemekana wana mpango wa kusepa..ila kwa mayele hapo mhh sina uhakika.
 
Nzengeli ndio yupi huyo? Halafu Musonda unamuweka wapi?

Yanga ikikubaliana na Mayele kubaki itakuwa na kikosi bora kilichokaa pamoja muda wa kutosha.

Kufumuwa kikosi kuna gharama zake kulitugharimu tukatolewa hatua za mwanzo na Rivers united ya Nigeria, lakini baada ya timu kukaa pamoja ni raha tu, Yanga hata ikicheza ugenini wala hupati pressure.
 
Kwa taarifa yako Mayele bado yupo yupo sana mitaa ya Jangwani. Kwa hiyo ni bora tu ukamuweka hapo. Halafu wewe kweli ni Makolo Fc! Na Aucho naye umemuacha wapi?
Sa kwani lazima awepo kwenye kikosi changu,kinyesi fc buana una nini wewe?
 
Maxi Mpia Nzengeli toka As Maniema ya DRC
 
Nzengeli umemuona?uliuliza ndio nani, ndo huyo sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…