Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hajijui huyoKwa taarifa yako Mayele bado yupo yupo sana mitaa ya Jangwani. Kwa hiyo ni bora tu ukamuweka hapo. Halafu wewe kweli ni Makolo Fc! Na Aucho naye umemuacha wapi?
Sa kwani lazima awepo kwenye kikosi changu,kinyesi fc buana una nini wewe?Kwa taarifa yako Mayele bado yupo yupo sana mitaa ya Jangwani. Kwa hiyo ni bora tu ukamuweka hapo. Halafu wewe kweli ni Makolo Fc! Na Aucho naye umemuacha wapi?
Maxi Mpia Nzengeli toka As Maniema ya DRCNzengeli ndio yupi huyo? Halafu Musonda unamuweka wapi?
Yanga ikikubaliana na Mayele kubaki itakuwa na kikosi bora kilichokaa pamoja muda wa kutosha.
Kufumuwa kikosi kuna gharama zake kulitugharimu tukatolewa hatua za mwanzo na Rivers united ya Nigeria, lakini baada ya timu kukaa pamoja ni raha tu, Yanga hata ikicheza ugenini wala hupati pressure.
Nzengeli umemuona?uliuliza ndio nani, ndo huyo sasa.Nzengeli ndio yupi huyo? Halafu Musonda unamuweka wapi?