MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Jana tumekua na changamoto la umeme kukatika maeneo mengi Kenya na Uganda, baadaye ikabainika kulikua na tatizo la kiufundi kwenye mojawapo wa nguzo kuu zinazounga kwenye taifa lote, ila kilichotuwacha vinywa wazi ni hii video ya kikosi fulani cha wazalendo ambao hufanya haya madude ya kupaa kwa ndege za aina ya helicopter kisha wanashushwa na kuning'inia huku wakirekebisha umeme kwenye nyaya za kitaifa ambazo huwa mwingi mno.
Mawee!! Hawa noma bana, yaani roho juu..... Mwenye taarifa kuwahusu na wapi wao hufanyia haya mazoezi atushushie nondo humu.... cc: Kafrican nakuaminia kwenye kufukua data na kuzileta humu....
Hii video