Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Hamna lolote TANESCO kwenye Distribution ni janga la miaka na miaka. Yani ni kero sana.Wacha waje wenzio wa ushabiki mbishane Geza Ulole sisi tulio ndani ya hio industry hio ni kitu ya kawaida Sana na hata wakati wanafanya hio service power was off, Na je hawafanyi Preventive maintenance mpaka karibu nchi nzima inapata blackout?
Tena kwa kujirudia rudia hao alishabàbi wakiwakuta gizani si hatari hio, Mnacheza na Grid kabisa ambayo ina feed up mpaka majirani zenu mmedondosha mpaka network ya uganda sasa, Sasa ivi mnalilia interconnection EA nzima wakati Grid yenu haiko stable sana.
Tanzania hizo cases zipo ila ni very rare kutokea, Tupo Care sana na National Grid, outage zilizopo ni katika Distribution nazo tunazipunguza Sana Grid iko stable sana Tanzania
Nawapongeza Tanzania Electrical Supply Company(TANESCO) kwa hili la Grid wako sensitive sana haswa watu wa Transmission na Generation, Sisi miezi iliyopita tuli face hio blackout kwenye GRID ila badala ya kujisifia kuwa tume service na kulocate izo fault kwa drones ilibidi watu wawajibishwe kwa kudondosha Grid ni hatari sana nchi nzima kuwa giza na sisi power ilikuwa restored very quickly within 7 hours tayari kila kitu kipo normal kabisa Nchi nzima
Miundo mbinu mingi ya distribution ni mibovu haifanyiwi maintenance yani ni mpaka usikie nguzo imeanguka ndio watu wanaamka usingizini.
Hakuna utaratibu wa kufanya patrol kwenye lines na hata wananchi wakireport hakuna hatua zinachukuliwa labda nguzo ianguke au waya ukatike.