Kikosi cha wazalendo Kenya ambao huning'inia kwenye helicopter na kurekebisha umeme

Hamna lolote TANESCO kwenye Distribution ni janga la miaka na miaka. Yani ni kero sana.

Miundo mbinu mingi ya distribution ni mibovu haifanyiwi maintenance yani ni mpaka usikie nguzo imeanguka ndio watu wanaamka usingizini.

Hakuna utaratibu wa kufanya patrol kwenye lines na hata wananchi wakireport hakuna hatua zinachukuliwa labda nguzo ianguke au waya ukatike.
 
Lies, that is analysis from 2018
 
Tanzania tuko busy kupima mapapai, mbuzi, Oil chafu na kurusha ndege mpaka Madagascar kuendea mitishamba ya kutibu na kukinga Corona. Bado tupo kwenye ujima na ujamaa.

Hayo mambo ya Chopa kutumika kukarabati miundo mbinu ya umeme tuwaachie Kenya, hayatuhusu na hatuna muda nayo. Sisi bado sana, ipo siku tutayafikia.
 
lakini nyinyi watu sijui mnataka kiti gani!!!

ulitaka uwe unawaona TANESCO wanatambaa kwenye nyaya kama makomandoo ndipo ujue wako active,au wanashinda katika nguzo hapo chini???

yaani mnalalamika mpaka mnapoteza dira za msingi.
umeme unapata???
au unapata usiokidhi mahitaji yako???
huupati kabisa??
nguzo ikiangua inakaa wiki ngapi mpaka umeme uzimwe baada ya kutoa taarifa??

acha kauli za kichawi mdogo wangu hujui watu wanaumia kiasi gani,ili tu uchaji kitecno chako hicho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ikinunuliwa hata moja tu,utakuwa wa kwanza kuja hapa kulia lia ni kwanini,maana si kipaumbele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi wewe popo mbona umeumia kusikia ukweli? Kateni na miti maana line zimesongwa sana na miti kila siku feeder zinatoka, mvua kidogo tu blackout. Fanyeni kazi nitamwambia Kalemani awatumbue shauri yenu.
 
Hawa jamaa inabidi wawe na skill ya kuliko hata wanajeshi aisee! nimeangalia hizo video hio kazi si mchezo...
Lakini hata mi nilikua sijui kuna kikosi kama hichi, mi nilikua najua tu kwamba KPLC hutumia helicopters ku inspect transmission line zao lakini sikua najua pia wanaweza ku repair kutoka kwa ndege...

Anyway hii ndo info pekee ambayo nimepata


 
Power was off kwasababu kulikua na fault kwenye transmission line, lakini haimanishi hawawezi kufanya maintenance kwenye live wire..

FYI KPLC imekua ikifanya Live-Line Maintenance tangu 2016,
Kenya Power launches live maintenance of network
 
Priority Tanzania ni kuvuruga upinzani. Kwa hilo tu we are second to none.
 

Yaani badass.....
 
Vipi wewe popo mbona umeumia kusikia ukweli? Kateni na miti maana line zimesongwa sana na miti kila siku feeder zinatoka, mvua kidogo tu blackout. Fanyeni kazi nitamwambia Kalemani awatumbue shauri yenu.
huujui ukweli,unachojua ni muda wa kula njaa inakuuma basi,hayo mengine achia wataalamu na kazi zao.

inadhani inahitajika monitoring ya gharama kiasi gani kuhangaika na maelfu km ya nyaya za umeme zinazoning'inia juu!!!au unadhani kuna baadhi ya watumishi ni superman??
 
Uzembe upo sana hamfanyi kazi yenu. Kama wafanyakazi wapo wakutosha kinashindikana nini kufanya patrol?
 
Hahaha unajua Tz inauza umeme wake katika nchi ngapi?

Hapohapo pengine haujui umeme Wa kutumia Kagera unanunuliwa kutoka Uganda na pia Kigoma haiko katika gridi ya Taifa inatumia umeme wa kufua kwa ma generator.
 
Ukubwa wa Tanzania itabidi uunganishe Kenya, Rwanda na Uganda, ila bado tunawazidi kwenye uzalishaji na utumiaji wa umeme.
Halafu kwenu huko mgao kila siku....
 
Hapohapo pengine haujui umeme Wa kutumia Kagera unanunuliwa kutoka Uganda na pia Kigoma haiko katika gridi ya Taifa inatumia umeme wa kufua kwa ma generator.
Hakuna Rais atatokea Africa kuwaunganishia wananchi wake umeme kwa wingi katikati kipindi kifupi na kwa gharama nafuu kama JPM


 
Hapohapo pengine haujui umeme Wa kutumia Kagera unanunuliwa kutoka Uganda na pia Kigoma haiko katika gridi ya Taifa inatumia umeme wa kufua kwa ma generator.
Hoja yako ni nini? Kwamba Tz haiuzi umeme au?

Kuna mtu katoka kusema kua Tz ilikumbwa na blackout ya nchi nzima kasoro mikoa miwili, akaitaja, kisha wewe unasema Kagera na Kigoma umeme wao haupo gridi ya taifa.

Kwahiyo baada ya gridi ya taifa kupata blackout, Kagera wanaotoa umeme Ug na Kigoma wanaotumia umeme wa majenereta, nao wakaexperience blackout ya grid ya Taifa?
 
Umeme unakuwa umezimwa hapo hakuna uzalendo wowote..
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…