Kikosi cha Yanga kilichosafiri kuelekea Malawi kumenyana na Silver Strikers

Kikosi cha Yanga kilichosafiri kuelekea Malawi kumenyana na Silver Strikers

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Kikosi cha mabingwa wa Tanzania Bara Yanga, kimeondoka jijini Dar es Salaam leo Alhamini, Oktoba 16, kuelekea Malawi tayari kwa mchezo wa mkondo wa kwanza wa raundi wa pili Ligi ya Mabingwa Afrika, utakaopigwa keshokutwa Jumamosi, Oktoba 18.

Mshindi wa jumla wa mchezo huo atatinga hatua ya makundi ya michuano hiyo


Safari ya Malawi imeanza #travellingsquad #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko.jpg
 
Wewe DuaZaMama huwa unawahi wapi hebu orodhesha hao wachezaji kwa maandishi sio kuleta barua ambayo wengine hatuwezi kuipakua kwa vile tunatumia simu za batani.
 
Weka orodha ya wachezaji waliosafiri. Clip ya nini tena! Watu tunaingia humu jukwaani kwa shida. Muwe mnatuonea huruma.
 
Back
Top Bottom