Kikosi cha mabingwa wa Tanzania Bara Yanga, kimeondoka jijini Dar es Salaam leo Alhamini, Oktoba 16, kuelekea Malawi tayari kwa mchezo wa mkondo wa kwanza wa raundi wa pili Ligi ya Mabingwa Afrika, utakaopigwa keshokutwa Jumamosi, Oktoba 18.
Mshindi wa jumla wa mchezo huo atatinga hatua ya makundi ya michuano hiyo
Wewe DuaZaMama huwa unawahi wapi hebu orodhesha hao wachezaji kwa maandishi sio kuleta barua ambayo wengine hatuwezi kuipakua kwa vile tunatumia simu za batani.
Wewe DuaZaMama huwa unawahi wapi hebu orodhesha hao wachezaji kwa maandishi sio kuleta barua ambayo wengine hatuwezi kuipakua kwa vile tunatumia simu za batani.