Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Chama yupo slow...ππππChama aanze!
Kolowizard βοΈChama yupo slow...ππππ
Hivi Job kapona baada ya jamaa kumparula kwenye jicho?, Kwenye mchezo wa Taifa stara vs GuineaYanga SC leo ipo uwanjani huko Nchini Ethopia kuchezo mchezo wa klabu Bingwa Afrika dhidi ya CBE SA ya huko huko Ethopia. Mchezo huu utapigwa mishale ya saa 15:00 Alasiri
Kikosi ambacho natarajia kukiona kikianza leo ni kama ifuatavyo
-Dirra
-Yao
-Bakari Nondo
-Job
-Bacca
-Aucho
-Pacome
-Aziz Ki
-Mudathir
-Mzize
-Max Mpia
Mfumo Kocha atakao tumia 4-3-3
Na wewe panga kosi lako la maangamizi!
Soma Pia: CBE SA vs Yanga SC |CAF CL | Second preliminary round Leg 1 of 2 | Abebe Bikila Stadium | 14.09.2024
Wote mmemsahu BokaUmesahau mbavu moja ya Congo.
Mudathir/Baleke sub Musonda au Chama/Prince sub Mzize.
Kichea cha habari na ulichoandika ni parakacha beeYanga SC leo ipo uwanjani huko Nchini Ethopia kuchezo mchezo wa klabu Bingwa Afrika dhidi ya CBE SA ya huko huko Ethopia. Mchezo huu utapigwa mishale ya saa 15:00 Alasiri
Kikosi ambacho natarajia kukiona kikianza leo ni kama ifuatavyo
-Dirra
-Yao
-Bakari Nondo
-Job
-Bacca
-Aucho
-Pacome
-Aziz Ki
-Mudathir
-Mzize
-Max Mpia
Mfumo Kocha atakao tumia 4-3-3
Na wewe panga kosi lako la maangamizi!
Soma Pia: CBE SA vs Yanga SC |CAF CL | Second preliminary round Leg 1 of 2 | Abebe Bikila Stadium | 14.09.2024
Boka lazima aanzeYanga SC leo ipo uwanjani huko Nchini Ethopia kuchezo mchezo wa klabu Bingwa Afrika dhidi ya CBE SA ya huko huko Ethopia. Mchezo huu utapigwa mishale ya saa 15:00 Alasiri
Kikosi ambacho natarajia kukiona kikianza leo ni kama ifuatavyo
-Dirra
-Yao
-Bakari Nondo
-Job
-Bacca
-Aucho
-Pacome
-Aziz Ki
-Mudathir
-Mzize
-Max Mpia
Mfumo Kocha atakao tumia 4-3-3
Na wewe panga kosi lako la maangamizi!
Soma Pia: CBE SA vs Yanga SC |CAF CL | Second preliminary round Leg 1 of 2 | Abebe Bikila Stadium | 14.09.2024
Sawa utopwinyo...ππππKolowizard βοΈ
kaponaHivi Job kapona baada ya jamaa kumparula kwenye jicho?, Kwenye mchezo wa Taifa stara vs Guinea
Safi sanakapona