Kikosi cha Yanga vs Mwadui Fc

moodykabwe

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2015
Posts
625
Reaction score
602
Young Africans SC vs Mwadui FC

1. Deo Munishi ( Dida )
2. Juma Abdul
3. Oscar Joshua
4. Nadir Haroub ( Canavaro )
5. Pato Ngonyani
6. Thaban Kamusoko
7. Simon Msuva
8. Haruna Niyonzima
9. Amisi Tambwe
10. Donald Ngoma
11. Yousouf Abubakari

AKIBA
1. Tinoko
2. Mbuyu
3. Mwashiuya
4. Telela
5. Nonga
6. Busungu
7. Vicent

ningeweka na cha mwadui ila uwezo sina kama kuna mwenzangu atapata ataweka tu

hivyo tuendelee kukichambua hiki kikos mwalimu ana maana gani???


[emoji460] mpira umeisha katika uwanja wa taifa YANGA FC 2 vs MWADUI FC 1

Mwisho wa siku viporo vya yanga nisawa na kiporo cha mboga ya kisamvu huwa kikilala kinazidi kuwa kitamu
 
Pluijm anamaanisha kuwa leo haruhusu hao wachimba madini wafunge bembea kwenye Pumbu za Afande. Wa mchangani waliponzwa na takwimu za Tanga kuwa Wavuta Unga wengi kwahiyo wakaamini kuwa Coastal nao Mateja.

Huyu Anachapwa leo na anachapwa nusu fainali ya FA na mwali wetu Azam .
 
Mapemaaaaaaaa Mwadui anakufa pale taifa leo. Ila ingekuwa powa kama tungemchapa nusu ya zile ambazo tulimchapa Mwaarabu wa Simba mwaka jana pale Taifa.
Ila ushindi wowote kwangu utakuwa powa tu ilimradi tusipoteze point.
 
Kimoja tuu kakitoshi lazima tuwa chape cha 2 na cha 3
 
HAPA ITATAFUTWA PENALTY HATA KWA NJIA YATOCHI ILIMRADI TU NDALA/VYURA WABEBWE

AU WAPUNGUZIWE MCHEZAJI(REDCARD)
 
Reactions: PNC
HAPA ITATAFUTWA PENALTY HATA KWA NJIA YATOCHI ILIMRADI TU NDALA/VYURA WABEBWE

AU WAPUNGUZIWE MCHEZAJI(REDCARD)
Hata juzi sisi Coastal(Al Ahly ya Tanga) tulipewa penati
 
Mtibwa 0 - 1 Azam.

John Boko dakika ya 62 Penalti
 
Uwanja huu wa manungu mbona mbovu namna hii.....!!!!
 
tupeni updates jamani nimepita kariakoo naona shabiki za vyura fc zinalalamikiana
 
Wajameni mbona mmeingia mitin au kiporo hiki ndo kimetutachachia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…