Kikosi cha Yanga vs Mwadui Fc

Kikosi cha Yanga vs Mwadui Fc

Sina imani na uamzi unachukuliwa pindi ngoma anapocheza na timu pinzani.Kwa hakika kama ni kwa maamzi haya bora tu Yanga apewe kombe maana dhahiri amepangiwa hilo kombe.
 
Hivi takukuru wapo kweli?
ila ushindi wa ki-figisu figisu huwa mtamu kweli kweli
 
Sina imani na uamzi unachukuliwa pindi ngoma anapocheza na timu pinzani.Kwa hakika kama ni kwa maamzi haya bora tu Yanga apewe kombe maana dhahiri amepangiwa hilo kombe.
Mchezo huu hautaki Hasira
 
Sina imani na uamzi unachukuliwa pindi ngoma anapocheza na timu pinzani.Kwa hakika kama ni kwa maamzi haya bora tu Yanga apewe kombe maana dhahiri amepangiwa hilo kombe.
Mbona Kiiza alifunga goli la kuibia dhidi ya waarabu wa Tanga refa akawabeba!
 
Sina imani na uamzi unachukuliwa pindi ngoma anapocheza na timu pinzani.Kwa hakika kama ni kwa maamzi haya bora tu Yanga apewe kombe maana dhahiri amepangiwa hilo kombe.
#MchezoHuuHautakiHasira
 
Samahani mechi ya ngp leo kushinda baada ya kadi nyekundu??!?
 
Back
Top Bottom