Kikosi cha Yanga vs Mwadui Fc

Wa kimataifa mko wapi mtupatie update
 
mpira unakwisha na kiporo kinachacha

EEH REFA SAIDIA UTUPE PENAT MAANA TUNAUMBUKA
 
HAPA ITATAFUTWA PENALTY HATA KWA NJIA YATOCHI ILIMRADI TU NDALA/VYURA WABEBWE

AU WAPUNGUZIWE MCHEZAJI(REDCARD)
ulichokitabiri ndicho kilichotokea. mchezaji wa Mwadui Fc anapewa kadi nyekundu. na hivyo Mwadui Fc wanabaki wachezaji 10.
 
mtu kala kadi nyekundu Taifa huko chezea yanga wewe anataka ubingwa

jabiri azizi wa mwadui kapewa kadi nyekundu baada ya kumchezea ngoma fauli


alikuwa na kadi ya njano akaongezwa nyingine

yani yanga kwenda simba ahahahahaha
 
ulichokitabiri ndicho kilichotokea. mchezaji wa Mwadui Fc anapewa kadi nyekundu. na hivyo Mwadui Fc wanabaki wachezaji 10.
HEEEEEEEE Niliwaaambia hawa vyura mambo mawili lazima yatokee ndipo washindee!

by the way hiki kiporo kimechacha au MWAMUZI AMEAMUA KUKILA YEYE MWENYEWE KUWASAIDIA VYURA FC????
 
Bado penati....... Daaa hii ndo tff ya malinzi!
 
ulichokitabiri ndicho kilichotokea. mchezaji wa Mwadui Fc anapewa kadi nyekundu. na hivyo Mwadui Fc wanabaki wachezaji 10.
HEEEEEEEE Niliwaaambia hawa vyura mambo mawili lazima yatokee ndipo washindee!

by the way hiki kiporo kimechacha au MWAMUZI AMEAMUA KUKILA YEYE MWENYEWE KUWASAIDIA VYURA FC KAMA KILE CHA KAGERA SUGAR???????
 
gooooooooooooooooo dk ya 86 haruna anaipatia yanga goli la pili kwa shuti kali sana lenye umbali wa mita 120 na uwanja mzima kuzizima na huko kwenye vibanda umiza ni shangwe na nderemo kabisa
 
Acheni masihara tupeeeeni matokeo, mpira umeisha?
 
mpira umeisha katika uwanja wa taifa YANGA FC 2 vs MWADUI FC 1

Mwisho wa siku viporo vya yanga nisawa na kiporo cha mboga ya kisamvu huwa kikilala kinazidi kuwa kitamu
 
Aloooo shukrani za pekeee zimwendeee refaaa kwa kuturushia mbeleko ya chumaaa, kidogo nife kwa presha mie
 
Shabani Kado Mungu amzidishie baraka ni mwaminifu na mtekelezaji wa ahadi.
 
Sasa kinachofuata ni kuwatandika mikia fitna mbaya adi wasambaratike na kupoteana kabisa kisha wapoteze mechi 2 mfululizo adi watie adabu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…