Kikosi changu bora

Wako wapi hawa totti, puto, requelme na nedved
Toti naye ni mkali ila hapo unasema nimuweke bench Thiery Henry au de lima,

Juam roman requelme alikua mzuri ila alikua na mapungufu mengi. nedved nimeshamzungumzia
sorry huyo puto sidhani kama namjua
 
Fernando hiero alikua beki mjanja sana pia kwenye penalt akipiga tano zote zinaenda wavuni,
ila hakua na mbio, nakumbuka mechi za man u, gigs alikua anamtangulizia mipira alafu anakuja kumpita kama jeti
 
Hapo chini ulimaanisha David Beckham au Dennis Bergkamp? Wa kwanza hapo jina kubwa, wa pili mpira mwingi.
 
Kwa nini Gerald ameingia kwenye kikosi chako kwa upendeleo maalum?? Means hana sifa stahiki au?
 
Macmanaman?jap stam?Kole?yule mreefu?Van Bommel?
 
Mi concern yangu ni no 4 John Terry hamna kabisa hajafikia kiwango cha kutisha duniani
 
Kweli,, nidhamu ndo imemfanya Gaucho atoke kwenye ligi za ushindani mapema...
Starehe noma sana
Kama Ronaldinho angekua na nidhamu ya Cristiano Ronaldo, dunia ingeshuhudia mchezaji ambaye angewafunika Pelle na Maradona
 
Thiery Henry, Wayne Rooney huwezi kuwaacha
Thiery Henry mbona yuko mkuu, anacheza na de lima pale mbele..
Rooney bado sana, kwanza hana kipaji.. mpira wake ni wa shuleni
i mean wa kufundishwa
 
Umemsahau lunyamila na pawassa bila kumsahau paul scholes
 
Hapo chini ulimaanisha David Beckham au Dennis Bergkamp? Wa kwanza hapo jina kubwa, wa pili mpira mwingi.
Sorr mkuu ni Denis Yule fundi wa arsenal
 
Kwa nini Gerald ameingia kwenye kikosi chako kwa upendeleo maalum?? Means hana sifa stahiki au?
Gerrald ameingia kwa upendeleo kwa kuwa ni legend wa liverpool...
vyovyote iwavyo awe anastahili au hastahili,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…