Kikosi changu bora

Kikosi changu bora

Wako wapi hawa totti, puto, requelme na nedved
Toti naye ni mkali ila hapo unasema nimuweke bench Thiery Henry au de lima,

Juam roman requelme alikua mzuri ila alikua na mapungufu mengi. nedved nimeshamzungumzia
sorry huyo puto sidhani kama namjua
 
Fernando Hierro,Redodndo,Requlme,Edgar David,kluivert,Rene Higuita(sp am not sure?Steve mac manaman,Paul Scholles.Figo,Luis Enrique,Morrientes,Careca,Gary Linekar,Boby Chalton(Sir)Goerge Best,Sherigham,Hasselbank Jimmy floyd.Nuno Valente,Gigs,Mafisango!hahahaha
Fernando hiero alikua beki mjanja sana pia kwenye penalt akipiga tano zote zinaenda wavuni,
ila hakua na mbio, nakumbuka mechi za man u, gigs alikua anamtangulizia mipira alafu anakuja kumpita kama jeti
 
Kwa kifupi nimeanza kuangalia soka la majuu kwenye kuanzia mwaka 1994, na kwa kipindi hicho nimefanikiwa kuwaona nyota kadhaa wakichipukia hadi kustaafu mpira,

kifuatacho ni kikosi changu bora kabisa cha jumla ya wachezaji 20. kati ya hao nitachagua first Eleven, olele X1,

hapa nazungumzia wachezaji ambao nimewaona wakicheza kuanzia miaka ya 1996 hadi sasa. pia Ni-declare interest kabisa kuwa mimi ni shabiki wa Liverpool,

1. Oliver Khan

2. Cafu

3.Robarto Carlos

4. John Terry

5. Allexandro Nesta

6: Patrick Vieira

7: Leonel Messi

8: Zinedine Zinade

9: Ronaldo de Lima

10: Thiery Henry

11: Christiano Ronaldo


Sub:
1: Gianluig Buffon
2: Fabio Cannavaro
3: Xavi Hernandez
4: Ronaldinho Gaucho
5. David Villa
6. Steven Gerrald (anaingia kwa upendeleo maalumu)
7: Andres Iniesta
8: Dani Alves
9. Luis Suarez

Kwa heshima nawataja:
Edwin Van der sar, Alesandro Del Piero, Lucio, David Bergkamp, Samuel Etoo

Usitoe kashfa na wewe taja kikosi chako
Hapo chini ulimaanisha David Beckham au Dennis Bergkamp? Wa kwanza hapo jina kubwa, wa pili mpira mwingi.
 
Kwa nini Gerald ameingia kwenye kikosi chako kwa upendeleo maalum?? Means hana sifa stahiki au?
 
Fernando hiero alikua beki mjanja sana pia kwenye penalt akipiga tano zote zinaenda wavuni,
ila hakua na mbio, nakumbuka mechi za man u, gigs alikua anamtangulizia mipira alafu anakuja kumpita kama jeti
Macmanaman?jap stam?Kole?yule mreefu?Van Bommel?
 
Mi concern yangu ni no 4 John Terry hamna kabisa hajafikia kiwango cha kutisha duniani
 
Kweli,, nidhamu ndo imemfanya Gaucho atoke kwenye ligi za ushindani mapema...
Starehe noma sana
Kama Ronaldinho angekua na nidhamu ya Cristiano Ronaldo, dunia ingeshuhudia mchezaji ambaye angewafunika Pelle na Maradona
 
Thiery Henry, Wayne Rooney huwezi kuwaacha
Thiery Henry mbona yuko mkuu, anacheza na de lima pale mbele..
Rooney bado sana, kwanza hana kipaji.. mpira wake ni wa shuleni
i mean wa kufundishwa
 
Umemsahau lunyamila na pawassa bila kumsahau paul scholes
 
Hapo chini ulimaanisha David Beckham au Dennis Bergkamp? Wa kwanza hapo jina kubwa, wa pili mpira mwingi.
Sorr mkuu ni Denis Yule fundi wa arsenal
 
Kwa nini Gerald ameingia kwenye kikosi chako kwa upendeleo maalum?? Means hana sifa stahiki au?
Gerrald ameingia kwa upendeleo kwa kuwa ni legend wa liverpool...
vyovyote iwavyo awe anastahili au hastahili,
 
Back
Top Bottom