Kikosi changu bora

Kikosi changu bora

Hiyo sub yako umemuacha never!!!!, van der sar na never yupi ni bora zaid
 
We jamaa bure kabisa, list yako imekosa uhalali kwa kutokumuweka Gaucho hapo. Wengi hujawaweka imevumilika lakini kwa Gaucho kutokumuweka haivumiliki. Najuta hata kusoma hii sredi yako 😡😡😡
 
Back
Top Bottom