Basi toeni wachezaji wa Yanga woteMwamnyeto toa weka onyango, dube na chama watoe maana hawakucheza muda
Upo sahihi kabisa mkuu. Wewe utakuwa mdau mwandamizi wa michezo.Natumai ni Wazima Wote Hapa..!
Ufuatao ni mtazamo wangu kuhusu Kikosi cha kwanza cha Wachezaji na Benchi la Ufundi kwenye NBC Premier League msimu huu wa 2022 kwa mzunguko wa kwanza na baada ya mchezo wa kwanza kwa mzunguko wa pili.
Kikosi cha kwanza;
1. Aishi Manula
2. Shomari Kapombe
3. Mohamed Hussein
4. Inonga Henock
5. Bakari Mwamnyeto
6. Khalid Aucho
7. Pape Sakho
8. Claotus Chama
9. Reliants Lusajo
10. Prince Dube
11. Vitalis Mayanga
Akiba;
1. Metacha Mnata
2. Lusajo Mwaikenda
3. Dickson Kibabage
4. Abdallah Kheri
5. Faisal Salum
6. Aziz Andambwile
7. Sadio Kanoute
8. Cleophace Mkandala
9. Fiston Mayele
Kocha Mkuu;
Pablo Franco Martin
Kocha Msaidizi;
Mathias Lule
Kocha wa magolikipa;
Milton Nienov
Daktari wa Timu;
Fareed Cassem
Rangi ya Jezi;
Home - Red
Away - Blue
Third Kit - Black & Orange
Uwanja wa Nyumbani;
Azam Complex.
CEO;
Abdulkarim Amin Popat
Basi la Timu;
Zhongtong Climber New Model.
kwakuwa mume yuko kikosi cha akiba?Makolo vilaza sana
Comment hii imeonesha kiwango chako cha akili. Hapa unawakashfu wanawake Kwa maumbile yao ndo unajiona bonge la mjanja? Wanawake kuingia period unaona ajabu wakati ni nature? Hapo umejiona umemtukana pakubwa wakati umeonesha uzuzu uliopitiliza?Nashangaa kuona hata wewe kuacha kusherehekea siku yako na wanawake wenzako na kuja hapa..!
Halafu itakuwa ped umeiweka vibaya wewe, si kwa kuchukia huko..!
Ni kawaida na mawaumbile Mungu ameumba, nimemueleza tu kuwa aweke vizuri.Comment hii imeonesha kiwango chako cha akili. Hapa unawakashfu wanawake Kwa maumbile yao ndo unajiona bonge la mjanja? Wanawake kuingia period unaona ajabu wakati ni nature? Hapo umejiona umemtukana pakubwa wakati umeonesha uzuzu uliopitiliza?
Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
Chama kacheza mechi ngapi mzunguko wa kwanza? Vipi Dube?Natumai ni Wazima Wote Hapa..!
Ufuatao ni mtazamo wangu kuhusu Kikosi cha kwanza cha Wachezaji na Benchi la Ufundi kwenye NBC Premier League msimu huu wa 2022 kwa mzunguko wa kwanza na baada ya mchezo wa kwanza kwa mzunguko wa pili.
Kikosi cha kwanza;
1. Aishi Manula
2. Shomari Kapombe
3. Mohamed Hussein
4. Inonga Henock
5. Bakari Mwamnyeto
6. Khalid Aucho
7. Pape Sakho
8. Claotus Chama
9. Reliants Lusajo
10. Prince Dube
11. Vitalis Mayanga
Akiba;
1. Metacha Mnata
2. Lusajo Mwaikenda
3. Dickson Kibabage
4. Abdallah Kheri
5. Faisal Salum
6. Aziz Andambwile
7. Sadio Kanoute
8. Cleophace Mkandala
9. Fiston Mayele
Kocha Mkuu;
Pablo Franco Martin
Kocha Msaidizi;
Mathias Lule
Kocha wa magolikipa;
Milton Nienov
Daktari wa Timu;
Fareed Cassem
Rangi ya Jezi;
Home - Red
Away - Blue
Third Kit - Black & Orange
Uwanja wa Nyumbani;
Azam Complex.
CEO;
Abdulkarim Amin Popat
Basi la Timu;
Zhongtong Climber New Model.