Kikosi changu cha kwanza cha NBC Premier League kwa mzunguko wa kwanza wa ligi kuu

Kikosi changu cha kwanza cha NBC Premier League kwa mzunguko wa kwanza wa ligi kuu

Natumai ni Wazima Wote Hapa..!

Ufuatao ni mtazamo wangu kuhusu Kikosi cha kwanza cha Wachezaji na Benchi la Ufundi kwenye NBC Premier League msimu huu wa 2022 kwa mzunguko wa kwanza na baada ya mchezo wa kwanza kwa mzunguko wa pili.

Kikosi cha kwanza;

1. Aishi Manula
2. Shomari Kapombe
3. Mohamed Hussein
4. Inonga Henock
5. Bakari Mwamnyeto
6. Khalid Aucho
7. Pape Sakho
8. Claotus Chama
9. Reliants Lusajo
10. Prince Dube
11. Vitalis Mayanga

Akiba;

1. Metacha Mnata
2. Lusajo Mwaikenda
3. Dickson Kibabage
4. Abdallah Kheri
5. Faisal Salum
6. Aziz Andambwile
7. Sadio Kanoute
8. Cleophace Mkandala
9. Fiston Mayele

Kocha Mkuu;
Pablo Franco Martin

Kocha Msaidizi;
Mathias Lule

Kocha wa magolikipa;
Milton Nienov

Daktari wa Timu;
Fareed Cassem

Rangi ya Jezi;
Home - Red
Away - Blue
Third Kit - Black & Orange

Uwanja wa Nyumbani;
Azam Complex.

CEO;
Abdulkarim Amin Popat

Basi la Timu;
Zhongtong Climber New Model.
Upo sahihi kabisa mkuu. Wewe utakuwa mdau mwandamizi wa michezo.
 
Nashangaa kuona hata wewe kuacha kusherehekea siku yako na wanawake wenzako na kuja hapa..!

Halafu itakuwa ped umeiweka vibaya wewe, si kwa kuchukia huko..!
Comment hii imeonesha kiwango chako cha akili. Hapa unawakashfu wanawake Kwa maumbile yao ndo unajiona bonge la mjanja? Wanawake kuingia period unaona ajabu wakati ni nature? Hapo umejiona umemtukana pakubwa wakati umeonesha uzuzu uliopitiliza?

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
Duh eti mnata kips no mbili na diara hayupo kabisa acha undezi wewe uyo mnata kafungwa goli ngap kwenye ligi
 
Ni kawaida na mawaumbile Mungu ameumba, nimemueleza tu kuwa aweke vizuri.

Kwani wee ukiambiwa tumia akili umekashifiwa?

Au ukiambiwa nenda kakojoe ulale, si kawaida tu maumbile na lazima kwa binadamu.

Halafu acha kujipa uwezo ambao huna mkuu wewe si chochote kwenye uerevu bali, ni mpuuzi fulani hivi.
 
Duh eti mnata kips no mbili na diara hayupo kabisa acha undezi wewe uyo mnata kafungwa goli ngap kwenye ligi
We utakuwa na mahaba na Diara kwani hata yeye kuna game hawepo ndo nimempunguza alama

Lakini golikipa mzuri..!
 
Natumai ni Wazima Wote Hapa..!

Ufuatao ni mtazamo wangu kuhusu Kikosi cha kwanza cha Wachezaji na Benchi la Ufundi kwenye NBC Premier League msimu huu wa 2022 kwa mzunguko wa kwanza na baada ya mchezo wa kwanza kwa mzunguko wa pili.

Kikosi cha kwanza;

1. Aishi Manula
2. Shomari Kapombe
3. Mohamed Hussein
4. Inonga Henock
5. Bakari Mwamnyeto
6. Khalid Aucho
7. Pape Sakho
8. Claotus Chama
9. Reliants Lusajo
10. Prince Dube
11. Vitalis Mayanga

Akiba;

1. Metacha Mnata
2. Lusajo Mwaikenda
3. Dickson Kibabage
4. Abdallah Kheri
5. Faisal Salum
6. Aziz Andambwile
7. Sadio Kanoute
8. Cleophace Mkandala
9. Fiston Mayele

Kocha Mkuu;
Pablo Franco Martin

Kocha Msaidizi;
Mathias Lule

Kocha wa magolikipa;
Milton Nienov

Daktari wa Timu;
Fareed Cassem

Rangi ya Jezi;
Home - Red
Away - Blue
Third Kit - Black & Orange

Uwanja wa Nyumbani;
Azam Complex.

CEO;
Abdulkarim Amin Popat

Basi la Timu;
Zhongtong Climber New Model.
Chama kacheza mechi ngapi mzunguko wa kwanza? Vipi Dube?

Unaujua mpira au unahadithiwa?
 
Back
Top Bottom