OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kikosi changu na chako hakina Yanga first 11,hii ina maana gani?Changu
1.Razzack abelora _Azam
2.Kapombe_Simba
3.M.Hussein__Simba
4.Bakar Nondo_Coastal union
5.Wawa. _Simba
6.Zawad Maiya. __Kagera sukar
7.Hatuna Chanongo. __Mtibwa auger
8.Lucas Kikoti____Namungo
9.Kagere ___Simba
10.Clotus Chama
11.Francisco kahata__Simba
Sub's
Manula Simba
K.kijiri. _KMC
Yakubu Mohammed
Mkude
Nyoso
Lusajo
Mapinduzi balama
Dilunga
Tshishimbi
Kocha
Sven
Assistance coach
Mgunda
Kochi makipa
Manyika__Yanga
Msemaji
Manara
Mtangazaji
Nurdn sulemani
Kiongozi bora
Mo dewj
Refa bora
Ell Sasii
Nyie wote ni MAMBUMBUMBU so hii mbona kawaida?? Rage anapaswa kuitwa Saint Rage maana aliwapatia sana kuwaita ninyi ni MBUMBUMBUKikosi changu na chako hakina Yanga first 11,hii ina maana gani?
wewe ni Yanga?Nyie wote ni MAMBUMBUMBU so hii mbona kawaida?? Rage anapaswa kuitwa Saint Rage maana aliwapatia sana kuwaita ninyi ni MBUMBUMBU
Sent using Jamii Forums mobile app
Yanga mnakuwa na hasira na kila mtu
Ameshasajiliwa Simba Sc mabingwaBakari Nondo MwamuNyeto hakuna kama huyu kwa mida huu
Ina maana kuwa nyie ni mikia na hamko objective...yaani ni sawa na kwenda uwanjani na matokeo mfukoni....fikiria Kama mngepata cheo Cha Karia au uenyekiti wa bodi ya ligi...au unakuwa waziri anayehusika na michezoKikosi changu na chako hakina Yanga first 11,hii ina maana gani?
mkuu povu la nini,weka kikosi chako tuweke maoni. mpira unachezwa hadharani. Yanga hamna soka la kuridhishaIna maana kuwa nyie ni mikia na hamko objective...yaani ni sawa na kwenda uwanjani na matokeo mfukoni....fikiria Kama mngepata cheo Cha Karia au uenyekiti wa bodi ya ligi...au unakuwa waziri anayehusika na michezo
Mpira ni magoli aliwahi kusema Pele...Yanga inalo soka la kuwafunga wale wanaokwenda uwanjani na matokeo mfukoni.....kwenye kikosi changu wataingia wachezaji watatu tu wa Simba....shomari kapombe....mkude ....kagere....yanga wachezaji watatu pia ...Morrison...makapu...ditrammkuu povu la nini,weka kikosi chako tuweke maoni. mpira unachezwa hadharani. Yanga hamna soka la kuridhisha
Na kweli.....
Yaani timu nzima inatoka kwa wanunua marefa.Nikiwa nimefanikiwa kuangalia mechi nyingi za VPL kabla kusimama kwa sababu ya janga la Corona, hili ni kosi langu la VPL 2019/20
1. Aishi Manula Simba SC
2. Shomari Kapombe Simba SC
3. Mohamed Hussein Simba SC
4. Bakari Nondo Coastal Union
5. Yakub Mohamed Azam FC
6. Jonas Mkude Simba SC
7. Triple C Simba SC
8.Luis Miquisone Simba SC
9.Reliants Lusajo Namungo FC
10. Meddie Kagere Simba SC
11. Deo Kanda Simba SC
Sub
1. Razak Abalora Azam FC
2. Nico Wadada Azam FC
3. Pasco Wawa Simba SC
4. Benard Morison Yanga SC
5. Papy Shishimbi Yanga SC
6. Francis Kahata Simba SC
Head Coach
Sven Simba SC
Assist Coach
Juma Mgunda Coastal Union