Kikosi changu cha Ligi Kuu Tanzania Bara-VPL 2019/2020

Kikosi changu cha Ligi Kuu Tanzania Bara-VPL 2019/2020

Nikiwa nimefanikiwa kuangalia mechi nyingi za VPL kabla kusimama kwa sababu ya janga la Corona, hili ni kosi langu la VPL 2019/20

1. Aishi Manula Simba SC
2. Shomari Kapombe Simba SC
3. Mohamed Hussein Simba SC
4. Bakari Nondo Coastal Union
5. Yakub Mohamed Azam FC
6. Jonas Mkude Simba SC
7. Triple C Simba SC
8.Luis Miquisone Simba SC
9.Reliants Lusajo Namungo FC
10. Meddie Kagere Simba SC
11. Deo Kanda Simba SC

Sub
1. Razak Abalora Azam FC
2. Nico Wadada Azam FC
3. Pasco Wawa Simba SC
4. Benard Morison Yanga SC
5. Papy Shishimbi Yanga SC
6. Francis Kahata Simba SC

Head Coach
Sven Simba SC

Assist Coach
Juma Mgunda Coastal Union
Ni shabiki wa timu husika pekee anayeweza kumweka kocha wa kikosi bora kuwa Sven huku mashabiki wenyewe mkimpigia kelele kwa ubovu kila siku, huu ni ushabiki maandazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani Hawa mikia wanajidanganya Sana.....unajua wengi wao wanaamini kuwa wanna timu nzuri na kwamba matokeo wanayopata uwanjani ni halali...wengi wao hawaamini kuwa matokeo hayo ni fixed...
Hawajui kabisa hata ushindi wanaupataje uwanjani.
 
Nikiwa nimefanikiwa kuangalia mechi nyingi za VPL kabla kusimama kwa sababu ya janga la Corona, hili ni kosi langu la VPL 2019/20

1. Aishi Manula Simba SC
2. Shomari Kapombe Simba SC
3. Mohamed Hussein Simba SC
4. Bakari Nondo Coastal Union
5. Yakub Mohamed Azam FC
6. Jonas Mkude Simba SC
7. Triple C Simba SC
8.Luis Miquisone Simba SC
9.Reliants Lusajo Namungo FC
10. Meddie Kagere Simba SC
11. Deo Kanda Simba SC

Sub
1. Razak Abalora Azam FC
2. Nico Wadada Azam FC
3. Pasco Wawa Simba SC
4. Benard Morison Yanga SC
5. Papy Shishimbi Yanga SC
6. Francis Kahata Simba SC

Head Coach
Sven Simba SC

Assist Coach
Juma Mgunda Coastal Union
Kweli hichi kikosi chako hongera manara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1.Aishi Manula =Simba
2.Shomari kapombe =Simba
3.Mohamed Husseien =Simba
4.Yakubu=Azam
5.Pascal Wawa =Simna
6.Jonas Mkude=Simba
7.Balama Mapinduzi=Yanga
8.Chama=Simba
9.kagere=Simba
10.Lucas Kikoti=Namungo
11.Bernad Morrison=Yanga

Sub
Metacha mnata, Yanga
Bakari Nondo, Costal union
Lusajo, Namungo
Kahata, Simba
Baraka Majogoro
Shishimbi, Yanga
Idd Nado, Azam

Coach Sven, Simba


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bodaboda FC wana matatizo sana wanajilinganisha na Al Ahly kisa amesema yule mropokaji wao hivi bila marefa watafunga nani wao wanasajili majina makubwa hata kama ana miaka 40 kama Wawa mpira hawana majina ya zilipendwa wanayo wamewaharibu akina Ajibu Gadiel jamaa wanakula benchi tu
 
Back
Top Bottom