Maana yake ni kwamba, Nyie wote mmeleta vikosi kishabiki.Kikosi changu na chako hakina Yanga first 11,hii ina maana gani?
Ni shabiki wa timu husika pekee anayeweza kumweka kocha wa kikosi bora kuwa Sven huku mashabiki wenyewe mkimpigia kelele kwa ubovu kila siku, huu ni ushabiki maandazi.Nikiwa nimefanikiwa kuangalia mechi nyingi za VPL kabla kusimama kwa sababu ya janga la Corona, hili ni kosi langu la VPL 2019/20
1. Aishi Manula Simba SC
2. Shomari Kapombe Simba SC
3. Mohamed Hussein Simba SC
4. Bakari Nondo Coastal Union
5. Yakub Mohamed Azam FC
6. Jonas Mkude Simba SC
7. Triple C Simba SC
8.Luis Miquisone Simba SC
9.Reliants Lusajo Namungo FC
10. Meddie Kagere Simba SC
11. Deo Kanda Simba SC
Sub
1. Razak Abalora Azam FC
2. Nico Wadada Azam FC
3. Pasco Wawa Simba SC
4. Benard Morison Yanga SC
5. Papy Shishimbi Yanga SC
6. Francis Kahata Simba SC
Head Coach
Sven Simba SC
Assist Coach
Juma Mgunda Coastal Union
Yaani Hawa mikia wanajidanganya Sana.....unajua wengi wao wanaamini kuwa wanna timu nzuri na kwamba matokeo wanayopata uwanjani ni halali...wengi wao hawaamini kuwa matokeo hayo ni fixed...Yaani timu nzima inatoka kwa wanunua marefa.
Hawajui kabisa hata ushindi wanaupataje uwanjani.Yaani Hawa mikia wanajidanganya Sana.....unajua wengi wao wanaamini kuwa wanna timu nzuri na kwamba matokeo wanayopata uwanjani ni halali...wengi wao hawaamini kuwa matokeo hayo ni fixed...
Ni shabiki wa timu husika pekee anayeweza kumweka kocha wa kikosi bora kuwa Sven huku mashabiki wenyewe mkimpigia kelele kwa ubovu kila siku, huu ni ushabiki maandazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa utopoloNyie wote ni MAMBUMBUMBU so hii mbona kawaida?? Rage anapaswa kuitwa Saint Rage maana aliwapatia sana kuwaita ninyi ni MBUMBUMBU
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli hichi kikosi chako hongera manaraNikiwa nimefanikiwa kuangalia mechi nyingi za VPL kabla kusimama kwa sababu ya janga la Corona, hili ni kosi langu la VPL 2019/20
1. Aishi Manula Simba SC
2. Shomari Kapombe Simba SC
3. Mohamed Hussein Simba SC
4. Bakari Nondo Coastal Union
5. Yakub Mohamed Azam FC
6. Jonas Mkude Simba SC
7. Triple C Simba SC
8.Luis Miquisone Simba SC
9.Reliants Lusajo Namungo FC
10. Meddie Kagere Simba SC
11. Deo Kanda Simba SC
Sub
1. Razak Abalora Azam FC
2. Nico Wadada Azam FC
3. Pasco Wawa Simba SC
4. Benard Morison Yanga SC
5. Papy Shishimbi Yanga SC
6. Francis Kahata Simba SC
Head Coach
Sven Simba SC
Assist Coach
Juma Mgunda Coastal Union