nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
Hivi wewe kuna siku unapita bila kuinanga Simba kweli. Elekeza hizo nguvu kuchangasha bakuli lenu lijae mkuu.
manula,zana,hussein,juuko,wawa,nyoni,kotei,muzamiru,kagere,boko,okwi.
nyoni atakuwa anasaidia upande wa kushoto kukaba,kotei kulia, muzamiru naye ana uwezo wa kukaba na kupiga pass,maana inabidi ku defend pia,tukienda na plan ya kuwaweka niyonzima na chama na kucheza gemu la kufunguka walahi tutakula goli nane sifuri
Fala huyo achana naye,yeye saiz yake NdandaHivi wewe kuna siku unapita bila kuinanga Simba kweli. Elekeza hizo nguvu kuchangasha bakuli lenu lijae mkuu.
Fala huyo achana naye,yeye saiz yake NdandaHivi wewe kuna siku unapita bila kuinanga Simba kweli. Elekeza hizo nguvu kuchangasha bakuli lenu lijae mkuu.
Mkuu,huamini ktk kubadilika,??unaamini kipato chako na uwezo wako ulionao vitabaki hivyohivyo mpaka ufe?huamini unaweza kubadilika hata kuanzia kesho??Kwa hii "Trend" ya Simba kushindia uwanja wa nyumbani tu huku akifanywa kachumbale kwenye viwanja vya ugenini inaifanya timu hiyo kuwa "Underdogs" moja kwa moja kwenye mchezo wa marudiano huko Lubumbashi, Congo.
Huu mwaka tunapindua meza mkuu.Tunapindua meza kibabe Lubumbashi, Mazembe msimu uliopita alitolewa hapo hapo Lubumbashi
Tena kwa aggregate ya 1 - 1 ,nilikuwepo uwanjani,na mechi ya Simba nitakuwepoTunapindua meza kibabe Lubumbashi, Mazembe msimu uliopita alitolewa hapo hapo Lubumbashi