Kikosi hiki cha Simba ndicho kicheze marudiano Lubumbashi

Kikosi hiki cha Simba ndicho kicheze marudiano Lubumbashi

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
2,430
Reaction score
5,779
manula,zana,hussein,juuko,wawa,nyoni,kotei,muzamiru,kagere,boko,okwi.
nyoni atakuwa anasaidia upande wa kushoto kukaba,kotei kulia, muzamiru naye ana uwezo wa kukaba na kupiga pass,maana inabidi ku defend pia,tukienda na plan ya kuwaweka niyonzima na chama na kucheza gemu la kufunguka walahi tutakula goli nane sifuri
 
Huko Lubumbashi huyo Tshabalala wenu atapata red card mapema kabisa....Okwi naye atapata red kama hatajirekebisha faulo zake za 'kisirisiri'...Marefaa wa CAF siyo wote 'wanaingilika'....Mchezo ule siyo ligi kuu ya TZ ambapo marefarii 'uchwara' wamekuwa wakionyesha upendeleo wa waziwazi kwa baadhi ya timu ikiwemo Simba....hata jana kama refarii angekuwa 'fair' wachezaji wawili wa Simba wangepata red, na mmoja wa Mazembe
 
Kwa hii "Trend" ya Simba kushindia uwanja wa nyumbani tu huku akifanywa kachumbale kwenye viwanja vya ugenini inaifanya timu hiyo kuwa "Underdogs" moja kwa moja kwenye mchezo wa marudiano huko Lubumbashi, Congo.
 
Mkuu,huamini ktk kubadilika,??unaamini kipato chako na uwezo wako ulionao vitabaki hivyohivyo mpaka ufe?huamini unaweza kubadilika hata kuanzia kesho??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunapindua meza kibabe Lubumbashi, Mazembe msimu uliopita alitolewa hapo hapo Lubumbashi
 
Simba Nguvu Moja.....Tunaimani na Kikosi chetu.
 
Simba haina uwezo wa kupenya tena,timu karibia zote klabu bingwa afrika zina weka nguvu kubwa kushinda mechi za nyumbani sasa kama simba amefeli kufaulu nyumbani hapo ni bai bai tujiandae mash indano yajayo.
 
Mpaka sasa ni timu moja tu iliyoshinda nyumbani, moja imepigwa mbili zimetoka sare! Hii inatoa picha gan?
 
mikia wakisha toka nje ya mipaka ya Tanzania wanakuwa waoga mithili ya nguruwee jikee, yaani ni kukandamizwaa tuuu na ni timu pekeee kwenye mashindano hayaa ambayo haija funga ugenini hata bao la offsite kwenye hatua hii ya robo fainali
 
Back
Top Bottom