Kwa hiyo Yale mamia ya mabilioni yalitotumika kwenye tume ya Jaji Warioba yalipotea bure!!!!!Chonde chonde tunaiomba kikosi kazi cha Mhe. Rais kinachokusanya maoni ya katiba mpya ipite kwenye Wilaya zote na ratiba iwekwe kwenye magazeti na matangazo kupitia vyombo vya habari. Mhe. Rais sisi wananchi tunataka Katiba mpya kabla ya uchaguzi wa 2025. Uchaguzi wa 2025 katiba mpya ndiyo itumike.
Jiwe aliwahi kusema kuwa,asiulizwe masuala ya katiba mpya coz kwenye kampeni zake hakuwahi kuahidi hilo suala.na everyone akaufyata.Ni Kupoteza Muda na raslimali tu. Raslimali ya Katiba mpya ipo, kinachotakiwa ni kuweka utaratibu wa kuhama kutoka katiba ya zamani na kuanza kutumia hiyo mpya. In fact Mzee Waryoba aliiandika vizuri sana, ikapitiwa na Bunge maalum la Katiba (Samia mwenyewe akiwa Mwenyekiti) lakini Kikwete akaifukia uvunguni halafu Magufuli akapokea serikali kama vile rasimu hiyo haipo kabisa; yaani haikuwa kati ya instruments alizopokea kutoka kwa Kikwete.
Nchi haina fedha lakini Hangaya kwa kushauriwa na Kikwete anapoteza fedha zingine ili hali wananchi nchi nzima waliisha toa maoni juu ya Katiba waitakayo!!! Rasimu ya Warioba ipo, sasa Hangaya na hilo genge alilounda watafanya kazi zaidi ya ile iliyofanywa na wataalam wa kundi la Warioba? Hao Watu wa hicho kikosi kazi kwanza hawana weledi wa mambo ya Katiba ; ni watu ambao Kikwete kawakusanya na kumpa Hangaya eti wakusanye maoni ya Katiba mpya ; yote hiyo ni kupoteza Wakati ili ifikapo 2025 watakuwa hawajafanya kazi yeyote na nchi itakwenda kwenye uchaguzi ikitumia hii katiba ya mafisadi!!Chonde chonde tunaiomba kikosi kazi cha Mhe. Rais kinachokusanya maoni ya katiba mpya ipite kwenye Wilaya zote na ratiba iwekwe kwenye magazeti na matangazo kupitia vyombo vya habari. Mhe. Rais sisi wananchi tunataka Katiba mpya kabla ya uchaguzi wa 2025. Uchaguzi wa 2025 katiba mpya ndiyo itumike.
Katiba mpya itagusa muungano ndiyo maana CCM kamwe hawatakubali. Nyerere aliwaonya CCM wasiuguse muungano.
Jiwe aliwahi kusema kuwa,asiulizwe masuala ya katiba mpya coz kwenye kampeni zake hakuwahi kuahidi hilo suala.na everyone akaufyata.
Kikwete mbona bado anadunda mpaka leo?Sawa sasa huyo Jiwe kwa kupinga Katiba mpya ameishia wapi? Na wote watakaohujumu matakwa ya wengi wataishia huko huko kwani SAUTI YA WENGI NI SAUTI YA MUNGU!
Haya madaraka makubwa aliyopewa raisi kwenye katiba ndiyo inayompa kufanya haya bila kuzingatia maoni ya Watanzania.Ametuona wote mazuzu tu.Lakini itafika wakati tutasema sasa vatosha.Ikifikia hapo tutaelewana tu.Sawa suala la muungano ni contestions lakini hiyo haizuii kuadopt rasimu ya Katiba ya Warioba!!! Mambo contentious kwa Mfano kuwa na serikali ngapi yanaweza kujadiliwa bila ya kupoteza fedha nyingine kwenye hicho kikundi mnachosema Hangaya amesema kinalinda shamba lake mpaka 2030!!
Who is Nyerere? He is gone. Use your brain to solve problems which weren't there in his time.Katiba mpya itagusa muungano ndiyo maana CCM kamwe hawatakubali. Nyerere aliwaonya CCM wasiuguse muungano.
Who is Nyerere? He is gone. Use your brain to solve problems which weren't there in his time.
Baada ya kukusanya maoni kipindi kilichopita na Bunge la katiba kufanya kikao chake kilichotakiwa ni kufanyiwa kazi kwa Yale yaliyojadiliwa hii ya Sasa ni delaying tactics na matumizi mabaya ya rasilimali za nchi hakuna jipya hapoKwa hiyo Yale mamia ya mabilioni yalitotumika kwenye tume ya Jaji Warioba yalipotea bure!!!!!
Maoni gani mapya yanayotafutwa!! Mbona tume iliwahi kuundwa miaka michache tu iliyopita na maoni yapo. Si wamwulize mzee Warioba maoni ya wananchi!! Hii pesa waliyopanga kutumia si waipeleke kwenye ruzuku ya mafuta ya gari! Huu ni UBADHIRIFU wa fedha!!Chonde chonde tunaiomba kikosi kazi cha Mhe. Rais kinachokusanya maoni ya katiba mpya ipite kwenye Wilaya zote na ratiba iwekwe kwenye magazeti na matangazo kupitia vyombo vya habari. Mhe. Rais sisi wananchi tunataka Katiba mpya kabla ya uchaguzi wa 2025. Uchaguzi wa 2025 katiba mpya ndiyo itumike.
Baada ya kukusanya maoni kipindi kilichopita na Bunge la katiba kufanya kikao chake kilichotakiwa ni kufanyiwa kazi kwa Yale yaliyojadiliwa hii ya Sasa ni delaying tactics na matumizi mabaya ya rasilimali za nchi hakuna jipya hapo