Kikosi kazi cha simba kilichopaa kwenda Zambia

ngajapo

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2012
Posts
1,782
Reaction score
3,525
Kikosi hicho kimeongozwa na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya TFF, Francis Ndulane pamoja na wachezaji 20, watu sita kutoka benchi la ufundi wakiongozwa na Kocha Mkuu, Patrick Aussems na viongozi watatu wa klabu.

Kikosi cha Simba kilichopaa kuelekea nchini Zambia ni:

Makipa: Aishi Manula, Deo Munishi Dida.

Mabeki: Nicholas Gyan, Mohamed Hussein, Erasto Nyoni, Pascal Wawa, Juuko Murshid.

Viungo: Jonas Mkude, James Kotei, Hassan Dilunga, Clatous Chama, Said Ndemla, Mzamiru Yassin, Haruna Niyonzima, Rashid Juma, Shiza Kichuya.

Washambuliaji: John Bocco, Emmanuel Okwi, Adam Salamba, Meddie Kagere.

Baada ya mchezo huo ambao utapigwa Jumamosi, Simba itarejea nchini kwaajili ya maandalizi ya mchezo wa marudio. Endapo Simba itavuka hatua hii ya pili, itafuzu hadi hadi hatua ya makundi ya michuano hiyo, ambapo itakuwa ni historia kubwa kwa klabu hiyo baada ya miaka mingi kupita
 
Mbona kwasi kapotea???
 
Basi vzr Kwa nnvyoifahamu Simba itavuka hatua ya makundi na ikipatikana hiyo milioni 600 tuwape mapoti wetu Yangu ziwasaidie kupunguza njaa tushow love tu wapo kwenye kipindi kigumu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…