Kikosi kazi cha simba kilichopaa kwenda Zambia

Kikosi kazi cha simba kilichopaa kwenda Zambia

Tuwe wazalendo bila kujali unazi tuisapoti Simba
Naiona Simba ikicheza fainali ya klabu bingwa mwaka huu
Ujue hata ukifuatilia post zangu za nyuma nilikuwa natoa sapoti sana kwa hawa jamaa wanapocheza kimataifa ila nikajua gundu hata uwashangilie vipi wakishinda utapata tabu sana. Niko tayari kuwa mzalendo kwenye mambo mengine ila kwa Mikia Fc uzalendo umenishinda. Ila hapo nilipobold nimecheka sana.
 
Usijitese mkuu mnyama ni kama maji usipoyaoga utakunywa kupitia kupitia drip[emoji28][emoji28]
Ujue hata ukifuatilia post zangu za nyuma nilikuwa natoa sapoti sana kwa hawa jamaa wanapocheza kimataifa ila nikajua gundu hata uwashangilie vipi wakishinda utapata tabu sana. Niko tayari kuwa mzalendo kwenye mambo mengine ila kwa Mikia Fc uzalendo umenishinda. Ila hapo nilipobold nimecheka sana.
 
Karibuni sana Nkana FC stadium [emoji909]. Uwanja una kipara kidogo hivyo ukidunda Manula awe makini. Sababu za kule Nangwanda stadium hatutaki.
Ila hapa mkishinda sana ni sare, sioni dalili ya Mkia kushinda, labda second leg
 
Kikosi hicho kimeongozwa na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya TFF, Francis Ndulane pamoja na wachezaji 20, watu sita kutoka benchi la ufundi wakiongozwa na Kocha Mkuu, Patrick Aussems na viongozi watatu wa klabu.

Kikosi cha Simba kilichopaa kuelekea nchini Zambia ni:

Makipa: Aishi Manula, Deo Munishi Dida.

Mabeki: Nicholas Gyan, Mohamed Hussein, Erasto Nyoni, Pascal Wawa, Juuko Murshid.

Viungo: Jonas Mkude, James Kotei, Hassan Dilunga, Clatous Chama, Said Ndemla, Mzamiru Yassin, Haruna Niyonzima, Rashid Juma, Shiza Kichuya.

Washambuliaji: John Bocco, Emmanuel Okwi, Adam Salamba, Meddie Kagere.

Baada ya mchezo huo ambao utapigwa Jumamosi, Simba itarejea nchini kwaajili ya maandalizi ya mchezo wa marudio. Endapo Simba itavuka hatua hii ya pili, itafuzu hadi hadi hatua ya makundi ya michuano hiyo, ambapo itakuwa ni historia kubwa kwa klabu hiyo baada ya miaka mingi kupita
Ukiangalia picha za mapokezi airport Zambia, Kwasi naye yumo
 
Back
Top Bottom