Ujue hata ukifuatilia post zangu za nyuma nilikuwa natoa sapoti sana kwa hawa jamaa wanapocheza kimataifa ila nikajua gundu hata uwashangilie vipi wakishinda utapata tabu sana. Niko tayari kuwa mzalendo kwenye mambo mengine ila kwa Mikia Fc uzalendo umenishinda. Ila hapo nilipobold nimecheka sana.Tuwe wazalendo bila kujali unazi tuisapoti Simba
Naiona Simba ikicheza fainali ya klabu bingwa mwaka huu
Ujue hata ukifuatilia post zangu za nyuma nilikuwa natoa sapoti sana kwa hawa jamaa wanapocheza kimataifa ila nikajua gundu hata uwashangilie vipi wakishinda utapata tabu sana. Niko tayari kuwa mzalendo kwenye mambo mengine ila kwa Mikia Fc uzalendo umenishinda. Ila hapo nilipobold nimecheka sana.
Mbona kwasi kapotea???
Labda CAF waamue kuwa hii mechi ya Nkana ndio iwe fainaliTuwe wazalendo bila kujali unazi tuisapoti Simba
Naiona Simba ikicheza fainali ya klabu bingwa mwaka huu
Labda CAF waamue kuwa hii mechi ya Nkana ndio iwe fainali
Ukiangalia picha za mapokezi airport Zambia, Kwasi naye yumoKikosi hicho kimeongozwa na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya TFF, Francis Ndulane pamoja na wachezaji 20, watu sita kutoka benchi la ufundi wakiongozwa na Kocha Mkuu, Patrick Aussems na viongozi watatu wa klabu.
Kikosi cha Simba kilichopaa kuelekea nchini Zambia ni:
Makipa: Aishi Manula, Deo Munishi Dida.
Mabeki: Nicholas Gyan, Mohamed Hussein, Erasto Nyoni, Pascal Wawa, Juuko Murshid.
Viungo: Jonas Mkude, James Kotei, Hassan Dilunga, Clatous Chama, Said Ndemla, Mzamiru Yassin, Haruna Niyonzima, Rashid Juma, Shiza Kichuya.
Washambuliaji: John Bocco, Emmanuel Okwi, Adam Salamba, Meddie Kagere.
Baada ya mchezo huo ambao utapigwa Jumamosi, Simba itarejea nchini kwaajili ya maandalizi ya mchezo wa marudio. Endapo Simba itavuka hatua hii ya pili, itafuzu hadi hadi hatua ya makundi ya michuano hiyo, ambapo itakuwa ni historia kubwa kwa klabu hiyo baada ya miaka mingi kupita