Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wizara ya mtoto wa 2nd presida ndo hyo,uwezo hana lkn anabebwa na koti ya 2nd presida! Kama vp tafuten mahali mkutane na vyombo vya habar mfunguke may be itawaamusha kutoka waliko lala,poleni wapendwa
Kumfuata wizarani mtakuwa mnadanganyana...nyie tumieni mtandao,mfateni kwenye wall yake facebook mkaichafue kwa kumshinikiza lazima atastuka...au muende kwenye blog yake kama anayo muivamie tena kwa nguvu zote..then kesho mtaniambia!
Jamani kigoma wamebandka tayari clinical oficer
Nami nimepata taarifa hizo za matokeo ya wizara ya afya kubandikwa kwa kila kanda husika.
MPAKA SASA MBONA NI MIKOA MI3 TU YAMEBANDIKWA!?
kwa hbr nilizopewa ni kigoma, mwanza, na mtwara.
Wadogo zangu tatizo kubwa ni waziri ameshakabiziwa sasa nijukumu lake kutangaza hili watu watoe Ila ndio hivyo viongozi wetu.mm natamani hata sasa yatoke Ila ndio hivyo mpaka waziri aseme.kiukweli hakuna wazir mzembe kama mwinyi.
unauhakika icjeikawa maneno ya kwenye kahawa kweni matangazo walitoa wapi kama sio kwenye web acheni hizo
unauhakika icjeikawa maneno ya kwenye kahawa kweni matangazo walitoa wapi kama sio kwenye web acheni hizo
Tar 1 mwez wa 1. Kwa taarifa zilizo2fikia punde.
ndg yangu yuko chuo songea,wamebandika uhakika ndg