Kikosi kikipangwa hivi Taifa Stars anashinda leo dhidi ya DR Congo

Kikosi kikipangwa hivi Taifa Stars anashinda leo dhidi ya DR Congo

FK21

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2019
Posts
8,600
Reaction score
10,760
kutokana na kuangalia wachezaji waliotwa KIKOSI kikianza ivi kitamshangaza mkongo

1. YONA AMOS - anajiamini japo Kuna goal mechi na Yanga kama aliamua tu kujishushia heshima

2. LUSAJO MWAIKENDA- No comments✓

3. MOHAMED HUSEIN -

4. IBRAHIM BACCA -japo h uyu jamaa simkubali I bet Leo atachomesha

5. DICKSON JOB- ✓

6. ALDORLF MTASINGWA - Asisitwezwe ubongo wake kuwa sharp Huwa ana delay Kuna mda

7. NASSOR SAADUN - yupo vizuri haogopi ni giat na fighter

8. MUDATHIR YAHYA -✓

9. BWANNA SAMATA✓

10. FEISAL SALUM TOTO - [emoji91]

11. KIBU DENIS PROSPER

Napenda kuuliza hivi mbona sijawahi kuona FEITOTO ata akipiga story na MUDATHIR YAHYA. waga Wana ugomvi au?
 
Lusajo beki mazito
Kuna paschal Msindo ndo beki mzuri

Kwa ukanda wa cecafa hakuna beki makini kama Ibra bacca hiyo hata pale man city anatwanga

Adolf Mtasingwa ni kiungo mzuri, sema anahitaji uzoefu atatufaa Kwa baadae

Fei ni mzito anasuburia matukio hapo angetwangwa Awesu

Kuhusu fei na mudathir kama hawako vizuri hilo Sina uhakika nalo
 
kutokana na kuangalia wachezaji waliotwa KIKOSI kikianza ivi kitamshangaza mkongo

1.YONA AMOS - anajiamini japo Kuna goal mechi na yanga kama aliamua tu kujishushia heshima

2.LUSAJO MWAIKENDA- No comments✓

3.MOHAMED HUSEIN -

4.IBRAHIM BACCA -japo uyu jamaa simkubali I bet Leo atachomesha

5.DICKSON JOB- ✓

6.ALDORLF MTASINGWA - Asisitwezwe ubongo wake kuwa sharp Huwa ana delay Kuna mda

7.NASSOR SAADUN - yupo vizuri haogopi ni giat na fighter

8.MUDATHIR YAHYA -✓

9.BWANNA SAMATA✓

10. FEISAL SALUM TOTO - [emoji91]

11.KIBU DENIS PROSPER

Napenda kuuliza ivi mbona sijawahi kuona FEITOTO ata akipiga story na MUDATHIR YAHYA. waga Wana ugomvi au?
Waarabu wa pemba.......
 
Lusajo beki mazito
Kuna paschal Msindo ndo beki mzuri

Kwa ukanda wa cecafa hakuna beki makini kama Ibra bacca hiyo hata pale man city anatwanga

Adolf Mtasingwa ni kiungo mzuri, sema anahitaji uzoefu atatufaa Kwa baadae

Fei ni mzito anasuburia matukio hapo angetwangwa Awesu

Kuhusu fei na mudathir kama hawako vizuri hilo Sina uhakika nalo
Unajua msindo anacheza namba ngapi?

Unataka Kila mchezaji awe na speed?

Debrune na fei nani ana speed ?

BACCA atakuja kuwa kuchoma hamtaamini
 
Napenda kuuliza hivi mbona sijawahi kuona FEITOTO ata akipiga story na MUDATHIR YAHYA. waga Wana ugomvi au?
Umeshawahi kukaa nao huko kambini yanga na timu ya taifa?!
 
Back
Top Bottom