Kikosi kikipangwa hivi Taifa Stars anashinda leo dhidi ya DR Congo

Mawazo ya mwalimu
 
Toa Yona Amos weka Ally Salim, Toa Lusajo weka Pascal Msindo, Toa Samatta weka Mzize. Samatta alipaswa atafutiwe mechi ya kuagwa kwa heshima sio kuitwa kwenye mecgi za mashindano kama hivi.
 
Toa Yona Amos weka Ally Salim, Toa Lusajo weka Pascal Msindo, Toa Samatta weka Mzize. Samatta alipaswa atafutiwe mechi ya kuagwa kwa heshima sio kuitwa kwenye mecgi za mashindano kama hivi.
Hujui ata namba za wachezaji
 
Wawili tu ndiyo kocha kabadirisha na nilivyopanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…