Hizi game mbili zimewapa confidence sana [emoji2]Hata mpange nyumba kule UG hamtoboi mtafungwa tu.
Inasababishwa na team kukosa ushirikiano ikiwa haina mpira, baadhi ya wachezaji hawafanyi majukumu yao ipasavyoHuyo Kanoute yeye kazi yake ni kukusanya kadi tu
Tatizo ni uwezoHizi game mbili zimewapa confidence sana [emoji2]
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Mechi itachezwa KWA MKAPA HATOKI MTU Au?Wakuu,
Ili game ya kesho tushinde tunahitaji kuwatumia Banda na Phiri kuleta vitu vipya pale mbele na kuwapumzisha kwanza Baleke , Sakho na Boko. Banda ana workrate kubwa na atamsaidia sana Kapombe kuliko Sakho.
Pia kipindi cha pili ni muhimu Kibu aingie badala ya Ntiba ili intensity ya timu isipungue.
Huu ni ubashiri wa kikosi ninachoamini kinaweza kubadili matokeo.
1) Aishi Manula
2) Kapombe
3) Tshabalala
4) Onyango
5) Inonga
6) Kanoute
7) Banda
8) Mzamiru
9) Phiri
10) Chama
11) Ntibatokiza
Supersub Washambuliaji: Boko, Kibu, Sakho, Baleke
Tupe lineup yako pia unayoiaminia .... #Nguvumoja[emoji110]️
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Banda naamini ni game changerBanda!!!!!!!!??????
Upo serious....
Dah! Maisha yapo kasi sana... Sacko mwenye gori bora la CAF msimu uliopita saiv ndo hafai hata kukaa benchi1. Manula
2. Kapombe
3. Hussein
4. Onyango
5. Kennedy
6. Inonga
7. Bob Marley Kibu
8. Mzamiru
9. Moses
10. Chama
11. Saido
Sub. Quatara, Okra, Mkude, Gadiel, Kapama, Baleke, Banda, Kakolanya.
Kikosi hicho kina uhakika wa 75% + kurudi na point 3.
Sacko, Kanoute, Bocco na Sawadogo hao hata kusafiri na timu ni matumizi mabaya ya fedha
MTAZAMO
Nimekuelewa! Ukiwa na Sakho, Chama, Ntiba na Boko hakuna hata mmoja anasaidia kukaba. Ndio maana Kibu anapewa nafasi ingawa mashabiki hawaelewi! Kibu analeta balance1. Manula
2. Kapombe
3. Hussein
4. Onyango
5. Kennedy
6. Inonga
7. Bob Marley Kibu
8. Mzamiru
9. Moses
10. Chama
11. Saido
Sub. Quatara, Okra, Mkude, Gadiel, Kapama, Baleke, Banda, Kakolanya.
Kikosi hicho kina uhakika wa 75% + kurudi na point 3.
Sacko, Kanoute, Bocco na Sawadogo hao hata kusafiri na timu ni matumizi mabaya ya fedha
MTAZAMO
Samahani mkuu, hapo kwenye bold. Hivi huwa ni nguvu moja au guvu moya?Tupe lineup yako pia unayoiaminia .... #Nguvumoja[emoji110]️
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Sakho anafaa kwa Mkapa game ya kushambulia tu lakini mpira ukiwa kwa adui hakabi.Dah! Maisha yapo kasi sana... Sacko mwenye gori bora la CAF msimu uliopita saiv ndo hafai hata kukaa benchi
Hachezi mpira wa malengo, sehemu ya kutulia atoe pass yeye anawaza chenga tu, wakati mwingine anajifanya Sadio Mane kitu kinachopelekea kupoteza mpira au kutoa pass fyongo.Dah! Maisha yapo kasi sana... Sacko mwenye gori bora la CAF msimu uliopita saiv ndo hafai hata kukaa benchi
Dah! Tambeni Uto [emoji2]Samahani mkuu, hapo kwenye bold. Hivi huwa ni nguvu moja au guvu moya?