Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa kwani usiombe ukocha simba kama unajifanya unajua hivyoWakuu,
Ili game ya kesho tushinde tunahitaji kuwatumia Banda na Phiri kuleta vitu vipya pale mbele na kuwapumzisha kwanza Baleke , Sakho na Boko. Banda ana workrate kubwa na atamsaidia sana Kapombe kuliko Sakho.
Pia kipindi cha pili ni muhimu Kibu aingie badala ya Ntiba ili intensity ya timu isipungue.
Huu ni ubashiri wa kikosi ninachoamini kinaweza kubadili matokeo.
1) Aishi Manula
2) Kapombe
3) Tshabalala
4) Onyango
5) Inonga
6) Kanoute
7) Banda
8) Mzamiru
9) Phiri
10) Chama
11) Ntibatokiza
Supersub Washambuliaji: Boko, Kibu, Sakho, Baleke
Tupe lineup yako pia unayoiaminia .... #Nguvumoja[emoji110]️
Majukumu tu, banda alipangwa kiungo game ya kirafiki na Al Hilal kule Sudan akamshangaza hata ZoranBanda Hana workrate.
Banda ana speed ya kukimbilia mpira driball mzuri.
Mchezaji Mwenye workrate kubwa ni MZAMIRU anakimbia sehemu kubwa ya uwanja kuliko mchezaji yoyote Tanzania.
Anakimbia Almost km 16- 17 ndani ya Dakika 90.
Tutakuwa tunapeana shule taratibu taratibu
Hapo tumefeli kabisa, Kanoute tunalazimisha tu ndio maana kila game analamba mikadi tunabaki kushikilia moyo [emoji36]Jana nilibahatika kuona marudio ya Azam vs Simba pale Chamazi, Ligi Kuu msimu wa 2017/18..
Simba chini ya Omog namwona Kotei kama namba 6 halafu nawaangalia Sawadogo na Kanoute... Tuache utani Simba inahitaji Defensive Midfielder
Manula hawezi kukubali kutoka uwanjani bila kufungwaWakuu,
Ili game ya kesho tushinde tunahitaji kuwatumia Banda na Phiri kuleta vitu vipya pale mbele na kuwapumzisha kwanza Baleke , Sakho na Boko. Banda ana workrate kubwa na atamsaidia sana Kapombe kuliko Sakho.
Pia kipindi cha pili ni muhimu Kibu aingie badala ya Ntiba ili intensity ya timu isipungue.
Huu ni ubashiri wa kikosi ninachoamini kinaweza kubadili matokeo.
1) Aishi Manula
2) Kapombe
3) Tshabalala
4) Onyango
5) Inonga
6) Kanoute
7) Banda
8) Mzamiru
9) Phiri
10) Chama
11) Ntibatokiza
Supersub Washambuliaji: Boko, Kibu, Sakho, Baleke
Tupe lineup yako pia unayoiaminia .... #Nguvumoja[emoji110]️
Hao lazima waingie na kocha akijua timing ya kuwatumia lazima watupe matokeoMimi nelezwe tu Kwa nini hao wa akiba wameitwa Supersub.
Hatupumui kabisaWanajiona wako juuuuuu kama real madrid
Karisa inabidi Putin amsaidie Zimbwe!Huu upande wa zimbwe inatakiwa awe makini sana maana kuna jamaa anaitwa Milton Karisa ana speed, skills na ni hatari.
Natamani Ben aanze lakini haongei na mabeki kama Manula. Manula ana guts za kufokea walinzi wake na pia naamini kocha wa makipa amemrekebisha makosa yake mengi hizi game tatu.Manula hawezi kukubali kutoka uwanjani bila kufungwa
Kama ni muhimu iwe hivyo sidhani kama kuna haja ya kuwa na makocha ktk timu.Wakuu,
Ili game ya kesho tushinde tunahitaji kuwatumia Banda na Phiri kuleta vitu vipya pale mbele na kuwapumzisha kwanza Baleke , Sakho na Boko. Banda ana workrate kubwa na atamsaidia sana Kapombe kuliko Sakho.
Pia kipindi cha pili ni muhimu Kibu aingie badala ya Ntiba ili intensity ya timu isipungue.
Huu ni ubashiri wa kikosi ninachoamini kinaweza kubadili matokeo.
1) Aishi Manula
2) Kapombe
3) Tshabalala
4) Onyango
5) Inonga
6) Kanoute
7) Banda
8) Mzamiru
9) Phiri
10) Chama
11) Ntibatokiza
Supersub Washambuliaji: Boko, Kibu, Sakho, Baleke
Tupe lineup yako pia unayoiaminia .... #Nguvumoja[emoji110]️
Manula no kipa wa hivyo sana anabebwa zaidi na ushirikina ila kiuchezaji neno ni boraNatamani Ben aanze lakini haongei na mabeki kama Manula. Manula ana guts za kufokea walinzi wake na pia naamini kocha wa makipa amemrekebisha makosa yake mengi hizi game tatu.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Simba ina kocha wa makipa?Natamani Ben aanze lakini haongei na mabeki kama Manula. Manula ana guts za kufokea walinzi wake na pia naamini kocha wa makipa amemrekebisha makosa yake mengi hizi game tatu.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
I agree ila hapa tunafanya kishabiki tu hakuna namna Robertinho atasoma na kufata tuliyosema.Kama ni muhimu iwe hivyo sidhani kama kuna haja ya kuwa na makocha ktk timu.
Hiyo kazi tuwaachie makocha
Huyu kocha mpya wa makipa ameshusha kiwango cha ManulaSimba ina kocha wa makipa?
Poa mkuuI agree ila hapa tunafanya kishabiki tu hakuna namna Robertinho atasoma na kufata tuliyosema.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
NNgoja tuone