Kikosi kitakachoiwakilisha yanga leo katika dakika 90

Kikosi kitakachoiwakilisha yanga leo katika dakika 90

moody kabwe

Member
Joined
Mar 13, 2015
Posts
76
Reaction score
21
Dida, Juma , Oscar , Twite, Yondani , Makapu , Msuva, Telela , Tambwe , Ngasa na Sherman
 
Weee hebu rekebisha heading ya uzi kabla hujala ban
 
Mechi ni saa 3:00 na itaoneshwa laivu na Azamtv kupitia Azam two na kutangazwa live na Efm 93.7
 
kama msosi wenyewe hadi Tunisia watu bado wanapiga kiepe yai kuna ushindi kweli leo
 

Attachments

  • 1430586451699.jpg
    1430586451699.jpg
    74.2 KB · Views: 204
diet hiyo mkuu unadhani nikama wachezaji wa mikia wamezoea mihogo yakwamama ntilie

.... diet kiepe yai mkuu? si uliwaona waarabu walivyoshiba? tuombe mungu tu .....
 
Ndio order waliyotoa sasa wenyeji wafanyeje leo ni mvua ya magoli tu
 
Back
Top Bottom