gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
HatariDuh, ukomandoo wa kibabe sana.
Watu wakiambiwa urusi anapigana na NATO na marekani wanabishaHatari sana
Mzanaki naye alikua hivyohivyoNgoja wakaeleze vizuri ni kwa nini Putin anatumia meza ndeeefu kama reli wakati anapokuwa akifanya mazungumzo na viongozi wao.
Hata mimi nilikuwa na shangaa!! Hivi kikosi cha Makomando wa Urusi kijulikanacho kamaKikosi maalum cha urusi toka spetnaz cha spat-12,kilifanya operation yenye uthubutu wa hali ya juu ndani ya ukraine
Operation hiyo iliyodumu kwa dakika 15 usiku mwingi,ilifanyika kwenye kambi inayotumiwa na NATO ndani ya ukraine na kuwateka maafisa watatu wa juu wa uingereza ambao hawakuwa na silaha bali encrypted diskets
Wamewapeleka urusi na hawana mpango wa kubadilishana wafungwa
Ukraine War: British Officers Captured in Russian Special Forces Raid
Ochakov, Ukraine (Agencies) August 2, 2025 — In a dramatic escalation of covert hostilities, Russian special forces reportedly executed a lightning-fast operation in the Ukrainian coastal city of Ochakov, capturing three senior British military personnel allegedly involved in coordinating drone...www.thekhybermail.com
Ni mzanaki na sio hawa mademu wa saivi...Mzanaki naye alikua hivyohivyo
Urusi wamecheza kama pele,wamewakuta na nyara muhimuHata mimi nilikuwa na shangaa!! Hivi kikosi cha Makomando wa Urusi kijulikanacho kama
Spetnaz mbona siwasikii katika
vita hii!! Kumbe walikuwa wanajipanga ku-deal hasa na SAS kutoka Uingereza, hao ndio wanawapa ushauri na mafunzo special forces za Ukraine ili wafanye mambo ya Ugaidi nchini Urusi na mipakani, kama wametiwa mbaroni wataeleza mengi.
Nawapa pongezi sana
sana makomando wa SPETNAZ kwa kuwadaka vibaka hawa ambao kazi zao hasa ni kuleta vurugu na kuwafunza mambo ya ugaidi wanajeshi au raia kufanya hujuma dhidi ya Serikali yoyote popote pale Duniani wanapo pewa assigment na Serikali ya Uingereza kutekeleza hujuma hizo na hicho ndicho kinacho endelea mipakani Urusi na wakati mwingine ndani ya Urusi kwenyewe mnakumbuka ajali ya Train iliyo sababishwa na hujuma za kulipua madaraja ya reli baadhi ya raia walipoteza maisha, sasa hizo ni baadhi ya modus operandi za SAS lengo likiwa ni kuwakasirisha raia wakate tamaa na kuanza kuichukia Serikali yao na inapo bidi waanze kuleta fujo/vurugu hili Nchi hisitawalikeni wana mawazo ya ajabu sana, hapa naona Urusi ifanye hima sana kusaka kikosi hiki Nchini Ukraine na Urusi kwenyewe kama wapo jamaa hawa ni hatari sana wasipo dhibitiwa haraka SANA.
Mzanaki alisoma michezo ya meza ndefu SovietNi mzanaki na sio hawa mademu wa saivi...
Remember the nameSkat-12
Anabung'aa tu huko,na kaambiwa video akila watoto wadogo siyo mossad pekee wanazoTrump atakuwa anjiharishia tu huko