Kikosi maalum cha Urusi chawateka maafisa wa juu wa kijeshi na kijasusi ndani ya Ukraine

Kikosi maalum cha Urusi chawateka maafisa wa juu wa kijeshi na kijasusi ndani ya Ukraine

Halafu Serikali ya Uingereza hisivyo na aibu inadai eti "hao walikuwa ni watalii!!" Watalii gani wanakutwa na treasure trove za encrypted data/info kwenye disks, clandestine communication system et.

Uingereza ilivyo ya ajabu inasema eti "Uingereza na Urusi wabadirishane wafungwa walio wahi kutiwa mbaroni kwa makosa mbali mbali ya kijinai kwenye Mataifa hayo mawili, lakini hawa wanajeshi walio tiwa mbaroni na Urusi jana waachiwe huru, kisa? eti: Walikuwa ni watalii - would you believe it??
Nakuambia Hawa west safari hii wanapigana vita na Mwanaume,walizoea kupigana vita na vivulana.
Huyu mwanaume ukimwaga ugali anamwaga mboga.
Ila nimesikitika sana askari wa USA hawakuwemo.
Ingekua bonge la ushahidi.
 
Ha ha haa,wanadai walenda kutalii.
Halafu wataliinwenuewe ni maafisa wa juu wa jeshi la UK halafu wamekamatiwa katika command center ya kijeshi.
Patamu hapo.
Mkuu hawa siwa kuchekea Urusi inapashwa kuwapa cha MOTO, hawa si ajabu walikuwa wanapanga hata kumuua Putin kwa Kuilenga hata Ikulu au nyumba yake ambayo ana mazoea ya kufanya mapumziko over week end, lakini nafikiri siku hizi walinzi wake watakuwa makini zaidi.
 
Nakuambia Hawa west safari hii wanapigana vita na Mwanaume,walizoea kupigana vita na vivulana.
Huyu mwanaume ukimwaga ugali anamwaga mboga.
Ila nimesikitika sana askari wa USA hawakuwemo.
Ingekua bonge la ushahidi.
Well said, siku hizi naona jeshi la Merikani linaonekana kujitoa Bara la Ulaya kiaina, hata Trump aliwahi kusema atapunguza idadi ya wanajeshi wa Merikani Barani Ulaya nafikiri alizungumzia kupunguza hata military bases in Continental Europe.

Hata mimi ningefurahi sana kama walao baadhi ya maafisa wa jeshi la Merikani wangetiwa mbaroni na Spetnaz, halafu tuone Trump na Mendvedev wangejibizana nini?? Au Trump mwenyewe angemwadaa vipi Putin ili wanajeshi wake waachiwe huru.
 
Mkuu hawa siwa kuchekea Urusi inapashwa kuwapa cha MOTO, hawa si ajabu walikuwa wanapanga hata kumuua Putin kwa Kuilenga hata Ikulu au nyumba yake ambayo ana mazoea ya kufanya mapumziko over week end, lakini nafikiri siku hizi walinzi wake watakuwa makini zaidi.
Warusi ni wapole sana katika Hali ya kawaida ila linapokuja suala la visasi kama hivi hua hawajali Haki za binadamu.
Kwa vile UK imekua Ina kihelehele katika vita hii na jinsi walivyoikera Urusi katika ugaidi wa spider web nadhani Hawa watakua mfano,hata ikatokea labda siku wakija kuachiwa watakua mazezeta yaani hata wakienda kwao hawatakua Tena na faida kwa taifa..
Nikisoma lile tukio Wa Russia enzi za Soviet walichowafanyia magaidi wa kiarabu Sina hamu na Warusi.
 
Well said, siku hizi naona jeshi la Merikani linaonekana kujitoa Bara la Ulaya kiaina, hata Trump aliwahi kusema atapunguza idadi ya wanajeshi wa Merikani Barani Ulaya nafikiri alizungumzia kupunguza hata military bases in Continental Europe.

Hata mimi ningefurahi sana kama walao baadhi ya maafisa wa jeshi la Merikani wangetiwa mbaroni na Spetnaz, halafu tuone Trump na Mendvedev wangejibizana nini?? Au Trump mwenyewe angemwadaa vipi Putin ili wanajeshi wake waachiwe.
Unajua wa Marekani walishituka,Urusi ilikua inawaua askari wengi sana wa NATO katika maeneo mbalimbali,kwa mfano walikua wapigwa na kombora ndani ya command center zilizojengwa chini ya ardhi,wengine walikua wanapigwa katika vituo vya kufundushia wanajeshi wa Ukraine,wengine wakufa wakiwa Wana operate mitambo ambayo ukraineywalikua hawana uwezo wa kuioperate kama vile Patriots na vifaa vingine,wengine wakija vitani kupata uzoefu,wengine wakijifanya mercenaries,wengine waliuliwa Kursk na Kila sehemu.
 
Warusi ni wapole sana katika Hali ya kawaida ila linapokuja suala la visasi kama hivi hua hawajali Hali za binadamu.
Kwa vile UK imekua Ina kihelehele katika vita hii na jinsi walivyoikera Urusi katika ugaidi wa spider web nadhani Hawa watakua mfano,hata ikatokea labda siku wakija kuachiwa watakua mazezeta yaani hata wakienda kwao hawatakua Tena na faida kwa taifa..
Nikisoma lile tukio Wa Russia enzi za Soviet walichowafanyia magaidi wa kiarabu Sina hamu na Warusi.
Waliwafanyaje mkuu?
Embu tueleze sisi tusiofahamu.
 
Waliwafanyaje mkuu?
Embu tueleze sisi tusiofahamu.
  • Iko hivi,kutokana na sintofahamu magaidi wa kiarabu waliwateka baadhi ya maafisa wa Urusi na kuwaficha Kisha kuwapa masharti magumu Urusi wayatekeleze ndio mateka wao waachiliwe.
    Kama kawaida ya wakomunisti ni watu wenye viburi sana na wasiojali kile kinachoitwa haki za binadamu, warusi wakikataa mazungumzo na walikataa kutekeleza masharti ya magaidi.
    Kitu Warusi walichokifanya kwa kipindi ambacho wakiendelea kubishana na magaidi,KGB na taasisi nyingine za ujasusi zikawa zinawafatilia watekaji Kwa Nia ya kuwajua majina Yao na maisha Yao ya mtaani.
    Majasusi wa Urusi walifanikiwa kuwajua watekaji wate,majina Yao,mahali wanakotokea,familia zao,baba zao,mama zao,watoto wao,wake zao na Kila watu muhimu wao kama walikuwepo,mfano kama gaidi alikua ameoa walimjua mke wake,kama hajaoa waliwajua wazazi wao na ndugu zao muhimu.

    Baada ya kuwajua Wanafamilia wa magaidi ,Majasusi wa Urusi nao wakaenda kuwateka ndugu muhimu TU wa wale magaidi,mfano wakateka baba na mama za magaidi,wake wa magaidi watoto wa magaidi na Kila alie muhimu na anaeuma moyoni.

    Wakawapeleka sehemu,nao Majasusi wa Urusi wakaanza kutoa masharti kwamba mateka wa kirusi waachiwe bila masharti kwa muda fulani,wasipowaachia warusi watakua wanaua mmoja baada ya mwingine wa wana familia ya Kila gaidi aliehusika.

    Na kwa bahati mbaya Majasusi wa Urusi hawakua wakitania,
    Ukweli ni kwamba magaidi walitaharuki wakaogopa sana na kuwaachia mateka wote.
  • Magaidi hao walikua ni
  • Hizbollah waliwateka maafisa wanne wa Urusi.
  • Wakawapa masharti magumu warusi watekeleze ili watu wao waachiwe,Warusi kama kawaida Yao hawakua tayari kutekeleza,wakaanza mbinu za kibabe kwelikweli,wakawapeleleza watekaji kuwajua maisha Yao ya mtaani ,kwa lengo la kuwajua ndugu zao muhimu,kama baba,mama, watoto na ndugu muhimu.

  • Nao Wakateka ndugu za magaidi, Kisha nao wakaanza kuwapa masharti watekaji kua, kama msipowaachilia watu wetu sisi tutawaua mmoja baada ya mwingine Hawa ndugu zenu.
  • Aisee jamaa Warusi hawakua wakitania, jamaa wala hawajali Hali za binadamu,inasemekana Kuna mmoja alikatwa pumbu na wakawatumia watekaji,aisee kuona hivyo, magaidi waliwawchia warusi.
  • Spertsnaz,KGB na Alpha Group commandos ndio waliopiga shoo hiyo ya kikatili sana.


  • Show of Force:
    Another version of events suggests that the Soviet Union, through its Alpha Group (a special forces unit) and KGB operatives, employed a more forceful approach. This included identifying the kidnappers, taking their relatives hostage, and threatening further action if the hostages weren't released. One report even mentioned the removal of testicles from a hostage and their delivery to the militants.
 
Unajua wa Marekani walishituka,Urusi ilikua inawaua askari wengi sana wa NATO katika maeneo mbalimbali,kwa mfano walikua wapigwa na kombora ndani ya command center zilizojengwa chini ya ardhi,wengine walikua wanapigwa katika vituo vya kufundushia wanajeshi wa Ukraine,wengine wakufa wakiwa Wana operate mitambo ambayo ukraineywalikua hawana uwezo wa kuioperate kama vile Patriots na vifaa vingine,wengine wakija vitani kupata uzoefu,wengine wakijifanya mercenaries,wengine waliuliwa Kursk na Kila sehemu.
Hata sijui Warusi walikuwa wanatumia silaha gani kuua kwa kiwango kikubwa wanajeshi wa Ukraine na mamuluki??

Labda Warusi walitumia Thermobaric/Vacuum bombs, narudia kusema kwamba "wanajeshi wa Ukraine na Mamuluki" walio uwawa walikuwa ni wengi sana sana, we sema Zelensky ana roho ngumu sana kama ya paka - hana huruma kwa vijana wanao uwawa kwa wingi huko Ukraine, hata Viongozi wa magharibi wanajua vizuri sana jinsi vijana wa Ukraine wanavyo kuwa subjected kwenye meat grinder huko Ukraine kwa bahati mbaya Viongozi wa magharibi wako kimya kabisa!! Hawataki vita hii isitishwe, inasikitisha SANA!!
 
Zitabadilishwa mbinu na mipango ambayo ilikuwa haijatekelezwa. Russia lazima ahujumiwe.
Mbinu tena !? Hapo lazima wateswe na watatoa ramani yote ya vita Yaani inshort hapo UK USA and their Allis wapo uchi tena Wanyama

Aibu kubwa sana hiyo 🤣🤣🤣

Ndio wakome wajue kwamba Russia sio Malawi
 
Back
Top Bottom